Optimistic_
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 2,347
- 1,850
Tatizo nininiMtailaumu Tanesco bure tu, huu ni mgao wa umeme, Waziri anajua na rais anajua pia ndio maana unaona hawasemi chochote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo nininiMtailaumu Tanesco bure tu, huu ni mgao wa umeme, Waziri anajua na rais anajua pia ndio maana unaona hawasemi chochote
Yaani kama kuna shirika ambalo wakisema livunjwe hata leo nitashangilia ni Tanesco!
Mtu hata kama umeamua kupumzika na kumalizia weekend nyumbani watakulazisha tu utoke, imagine weekend kama hii unaangalia mpira man utd vs brighton huku unasubiria liverpool vs chelsea jamaa wanakata umeme? Mnasababisha twende bar bila kupenda na vyuma vimekaza!
Kazi mnayoweza tanesco ni kukata umeme tu.
Kwanza nilisikia waziri mpya kasema umeme kukatika ni marufuku...vipi mbona ndio anachochea umeme kukatika?!
Hamna shirika nalichukia kama Tanesco maanake hawapitishi siku bila kuniharibia siku!
No comment.Yes, TAKUKURU
I was impressed na UHAMIAJI. Nimefanya taratibu za ku-renew passport baada ya kujaza form na kukamilisha taratibu zote nimeenda pale saa mbili na nusu hadi saa nne nimekamilisha taratibu zote bila kutumia mtu au kishoka! Nasubiria tarehe waliyoniambia nikachukue.Serikali yenyewe mbovu sasa unategemea taasisi zake zitakuwa imara kwenye utendaji? Angalia Takukuru na taasisi nyingine mbali mbali zote ni hovyo hovyo tu.
Na Serikali ndiyo chanzo cha utendaji mbovu wa taasisi hizi kwa kuingilia maamuzi yao mbali mbali na kutaka wafanye vile itakavyo Serikali.
I was impressed na UHAMIAJI. Nimefanya taratibu za ku-renew passport baada ya kujaza form na kukamilisha taratibu zote nimeenda pale saa mbili na nusu hadi saa nne nimekamilisha taratibu zote bila kutumia mtu au kishoka! Nasubiria tarehe waliyoniambia nikachukue.
Hivi umekwisha wahi kuona TANESCO wakifanya kazi zao? Kiufupi wapo mafundi ambao ni ovyo kabisa!Watu mnapenda tu kulalamika.
Sidhani Tanesco wanaweza kukata umeme maksudi ili tu watu wasiwe na umeme. Kazi yao ni kuuza umeme, bila kuuza maana yake hawawezi kupata pesa. Sitaki kuamini kama wao ni mataahira hawataki kupata pesa.
Katika sayansi ya umeme, umeme ukikatika ni hasara kwao, maana ukikatika na kule unazalishwa na huku hautumiki ni hasara maana umeme huwezi kusema ambao haujatumika unaweza kuuhifadhi uutumie baadae.
Wanakata umeme kwa sababu kuna shida au hatari inatakiwa iondolewe, pia inawezekana pia mti umeangukia nguzo ya tanesco, umeme unasense hatari unakatika wenyewe, kuna madereva wazembe wanaweza kugonga nguzo ikavunjika umeme lazima utakatika, nk nk.
Binafsi siamini kua wafanyakazi wa Tanesco wanaweza kukata umeme kwa kua tu wamejisikia kukata umeme. Tusisahau pia na wao wanatumia umeme huo huo, ni taahira tu anaweza kukata umeme ambao hata yeye anautumia.
Mwakyembe alishinda kwa msaada wa mabomu 45 bila hvyo angepinduliwaPambaneni na hali yenu mnapiga kelele kila mwaka ila mnarudi na miCCM