KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 277
Umbali kati ya nguzo na nguzo kwa wastani ni mita ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1.ENEO HUSIKA
(Mnaweza kuwa eneo moja lakini mnahudumiwa na transfoma au njia ya kusambaza umeme (feeder) tofauti)
2.NAMBA YA SIMU
(Wakati mwingine umeme upo kote isipokuwa kwako hivyo na rahisi kuwasiliana na wewe)
3.KARIBU NA NINI
(Kuna alama vitu au watu mashuhuri karibu na eneo lako mfano ofisi ya Serikali ya Mtaa, Mahakama, Kituo cha Polisi nk)
4.JINSI YA KUFIKA MAKAZI YAKO
(Toa ufafanuzi wa jinsi ya kufika makazi yako,chukulia unamuelekeza mtu ambaya hajawahi kufika kabisa)
5.MKOA,WILAYA NA KITONGOJI/KIJIJI
(Taarifa hii ni muhimu sana kusaidia kubaini eneo husika lipo wapi kwani yapo maeneo yanayofanana kwa majina lakini yapo Mikoa tofauti mfano Magomeni ipo Dar es Salaam na Mkoa wa Mtwara pia.)
6.KAMA NI TATIZO LA MITA NINI KINATOKEA UKIWEKA UMEME
Kwani mnazitoa mifukoni mwenu?tunabana matumizi,
hamjui gharama za kuendeshea mitambo ni kubwa
tushawaambia hap kazi tuKwani mnazitoa mifukoni mwenu?
Si tunalipia huduma
Afadhali umeuliza na mimi nilitaka kuwauliza hivyo hivyo, maana nahisi Kyela ndio sehem pekee inayoongoza kwa kukatiwa umeme.Tatizo LA kukata umeme wilaya ya kyela kila siku hasubuhi na kurudisha usiku wa sa tano linatokana na nini?
Ndugu Mteja tunaomba namba yako ya simuJamani ivi TANESCO Busega jamani wamejipanga kweli. Naomba makao makuu tusaidieni, hatuoni sababu ya kusubiri ujio wa Rais.
Nimelipia Meter wakanyamaza kimya nimejaribu kufatilia wanasema vifaa havipo.
Sasa nashindwa kuelewa ni vifaa au wanataka kitu kidogo? Maana hata Survey walikuja baada ya kuripoti makao makuu.
Jamani tusaidieni.
Ndugu mteja tunaomba namba ya taarifa uliyo repotia na namba ya simuKwa muda mrefu sasa nimekuwa niki report tatizo la umeme Hapa Savei.
Kama kawaida ya mafundi wa Tanesco hufika na kurekebisha baada ya sku 2 tatizo hurudi palepale, nimejaribu kufuatilia kwa umakin kujua tatizo ni nini nimegundua tatizo ni loose connection yaani.Baada ya fuser kukatika kukiwa na tatizo mafundi wakishatengeneza hawabadilishi fuse wanachofanya ni kufunga waya sasa pale walipofungia kunakuwa na loose connection waya hupata moto na kutoa cheche baadaye umeme hukatika.Jaman Tanesco fanyeni kazi kwa weledi sio kulipua kila sku tumechoka.