TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Mbona Wengine Hatujibiwi
Hawa TANESCO wazushi tu,issue serious hawajibu kabisa,wanazipita kama hawaoni, wanawajibu wale walionunua luku kwa simu bila kupata tokens tu hili tuone wanafanya Kazi ukiwauliza issue global hawajibu zaidi ya kukuambia tuma Jina,namba ya simu na bla bla kibao,wewe ushaambiwa mf TEMEKE nzima hakuna umeme sasa namba ya simu ya nini? Si ilitakiwa wapige SUBSTATION ya temeke kuconfirm?

TANESCO tuliomba umeme toka mwaka 2016 January wakazi wa SACCOS Mabwepande karibu na Chuo cha kilimo, Nguzo zilipo mpaka SACCOS hazizidi 7 lakini mpaka Leo hakuna kitu,nilifika ofisi za Tegeta mkasema mshaleta Nguzo 200 mshamkabidhi contractor na mchoro tayari, hilo jibu ni la mwaka Jana October,cha kushangaza mpaka Leo hakuna cha Nguzo wala contractor.

TANESCO mnafanya hivyo kwa sababu mpo peke yenu kwenye game la kusupply umeme lakini ipo siku mtakufa natural death...Alternative ni Solar ila figisufigisu kodi Kubwa hivyo kupelekea Gharama ya vifaa iwe Kubwa otherwise hakuna angehangaika na nyinyi kabisa.

Usije kuniambia nikupe namba sijui jina sina mda huo tena maana nilishakupa tangia mwaka jana mwezi wa 9,nimeandika tu kuwapa black and white, huo umeme wenu leteni mtapojisikia hata 2030 poa tutakaa giza tu,kila sehemu madudu tu,Watanzania wanakatwa fedha kuchangia REA kwa ajili ya kuwahudumia watanzania wenzao ,Nguzo 7 mpaka kwenye makazi ya SACCOS miaka miwili bado hamjapata fedha??? Really? Like seriously? Na unajisikia comfortable kabisa unaamka asubuhi unaenda kazini?? Upinzani/Wanaharakati ni mda muhafaka wa kupinga monopoly ya TANESCO maana Kazi imewashinda.
 
Mmejaribu kuongea na kiongozi mkuu ili mpate mpinzani kama mitandao ya simu?

Au wawekezaji watakuja na umeme kutoka kwao?
Hawa dawa yao inachemka watakufa natural death hawawezi kutesa watanzania kihasi hiki ,Kazi ya kusupply imewashinda lakini still wanang'ng'ania na hawataki kuachia,wametoa kwenye production tu lakini kusambaza hawataki kuachia.

Kampuni mbadala inahitajika kuwafunza adabu hawa VIUMBE....Ni muda umefika sasa KULIAMSHA DUDE.

Cc: Zitto , John Mnyika , Halima Mdee , Henry Kilewo, Sugu , Kubenea
 
Hawa TANESCO wazushi tu,issue serious hawajibu kabisa,wanazipita kama hawaoni, wanawajibu wale walionunua luku kwa simu bila kupata tokens tu hili tuone wanafanya Kazi ukiwauliza issue global hawajibu zaidi ya kukuambia tuma Jina,namba ya simu na bla bla kibao,wewe ushaambiwa mf TEMEKE nzima hakuna umeme sasa namba ya simu ya nini? Si ilitakiwa wapige SUBSTATION ya temeke kuconfirm?

TANESCO tuliomba umeme toka mwaka 2016 January wakazi wa SACCOS Mabwepande karibu na Chuo cha kilimo, Nguzo zilipo mpaka SACCOS hazizidi 7 lakini mpaka Leo hakuna kitu,nilifika ofisi za Tegeta mkasema mshaleta Nguzo 200 mshamkabidhi contractor na mchoro tayari, hilo jibu ni la mwaka Jana October,cha kushangaza mpaka Leo hakuna cha Nguzo wala contractor.

TANESCO mnafanya hivyo kwa sababu mpo peke yenu kwenye game la kusupply umeme lakini ipo siku mtakufa natural death...Alternative ni Solar ila figisufigisu kodi Kubwa hivyo kupelekea Gharama ya vifaa iwe Kubwa otherwise hakuna angehangaika na nyinyi kabisa.

Usije kuniambia nikupe namba sijui jina sina mda huo tena maana nilishakupa tangia mwaka jana mwezi wa 9,nimeandika tu kuwapa black and white, huo umeme wenu leteni mtapojisikia hata 2030 poa tutakaa giza tu,kila sehemu madudu tu,Watanzania wanakatwa fedha kuchangia REA kwa ajili ya kuwahudumia watanzania wenzao ,Nguzo 7 mpaka kwenye makazi ya SACCOS miaka miwili bado hamjapata fedha??? Really? Like seriously? Na unajisikia comfortable kabisa unaamka asubuhi unaenda kazini?? Upinzani/Wanaharakati ni mda muhafaka wa kupinga monopoly ya TANESCO maana Kazi imewashinda.
Tunashukuru sana mpendwa mteja wetu

Wewe ndio sababu ya sisi kuwepo hapa kukuhudumia kamwe hatutachoka kukuhudumia, tunapoomba taarifa zako tuna kuwa na nia njema ya kukuhudumia na ushirikiano wako ndio unaopelekea sisi kutatua tatizo lako, wateja wote wanaotoa ushirikiano hata kwa inbox PM wanapata huduma kwa haraka, hivyo na wewe tusaidie namba ya simu tukusikilize.
 
Habari zenu,nilikuwa nahitaji mwenye kuwa na namaba ya simu ya meneja wa tanesco Ilala anipatie
 
Tupatie taarifa za huduma unayohitaji na namba yako ya simu yeye atakupigia mkuu
 
Naomba kuuliza Kwanini Tanesco kila kitu kinalipiwa na mwanachi anayehitaji kupatiwa Umeme kuanzia nguzo na mambo mengine yote. Namaanisha mtu anayetaka umeme anatakiwa kulipia kiasi fulani Cha fedha ndipo apewe huduma, wakati Tanesco inakusanya fedha kwa wanaotumia Umeme Nchini.

Narudia swali; kwa nini wananchi wanalipishwa upatikanaji wa vifaa Kama nguzo wakati Ni jukumu lenu Tanesco kuwanavyo?
 
Naomba kuuliza Kwanini Tanesco kila kitu kinalipiwa na mwanachi anayehitaji kupatiwa Umeme kuanzia nguzo na mambo mengine yote. Namaanisha mtu anayetaka umeme anatakiwa kulipia kiasi fulani Cha fedha ndipo apewe huduma, wakati Tanesco inakusanya fedha kwa wanaotumia Umeme Nchini.
Narudia swali; .... kwa nini wananchi wanalipishwa upatikanaji wa vifaa Kama nguzo wakati Ni jukumu lenu Tanesco kuwanavyo ??????
Ni jukumu la mwananchi kuchangia gharama za huduma anayopata ili kupelekea wateja wengine kuhudumiwa vizuri zaidi, hata hivyo huduma nyingi zi epunguzwa bei ili kuwanufaisha wateja wengine mfano kufungiwa umeme miradi ya rea ni tsh 27000 tu, vijiji 177000 na mijini 321000 tofauti hapo awali ilikuwa zaidi ya laki nne
 
Tutakufikia mkuu
Haya,ila pia mngenipatia namba yake meneja ingependeza zaidi,kwani nimeangalia katika website yenu mmeweka majina na namba za mameneja wenu nchini lakini mkoa wa dsm hamjaweka namba ya meneja wa city centre cjajua tatizo ni nini
 
Utaratibu ni wewe kuwasiliana na kituo cha huduma kwa wateja na kama tatizo lako litakuwa linahitaji uongozi wa juu tutalifikisha, kwamhuduma unayoomba ya survey ambayo ipo ndani ya uwezo wa watoanhuduma wetu
 
OK,sawa nimewaelewa lakini nilipenda niwe nayo namba yake,mbona mmetoa toa orodha ya namba ya mameneja nchini lakini kwa meneja wa Ilala hamjatoa why
 
Tutaiwekw mkuu
 
Ni jukumu la mwananchi kuchangia gharama za huduma anayopata ili kupelekea wateja wengine kuhudumiwa vizuri zaidi, hata hivyo huduma nyingi zi epunguzwa bei ili kuwanufaisha wateja wengine mfano kufungiwa umeme miradi ya rea ni tsh 27000 tu, vijiji 177000 na mijini 321000 tofauti hapo awali ilikuwa zaidi ya laki nne
Si kweli kuchangia huduma wakati Tanesco wanalipwa kwa kutumia Umeme. Inakera mtu unapohitaji umeme unaambiwa lipia nguzo tatu au nne, najiuliza nyie pesa mnayokusanya mnafanyia nini Kama kila kitu kilipiwe na wananchi???
 
Mteja halipii nguzo bali anachangia gharama ya nguzo, itakumbukwa kuwa gharama ya nguzo imepunguzwa sana na tumeweka viwango vifuatavyo kufungiwa umeme
4d54156e1c5e23c5e76f5ef143348117.jpg
 
Wakuu tatizo langu ni moja kwamba umeme wangu natumia wa rea ila nalipa sawa na umeme wa viwanda ambao ni 3face mi kawaida nanua umeme wa 5000 ambao kwa umeme wa viwanda ni units 14 na wa rea ni 41 sasa naombeni msaada namna ya kutatua tatzo langu hili kwamaana naumia sana[emoji119] [emoji119]
 
Ndugu mpendwa mteja
Hatufungi umeme wa viwanda majumbani, kiasimunacholipia ni cha matumizi ya nyumbani kwa mteja anayetumia zaidi yanunit 75 kwa mwezi
 
Back
Top Bottom