Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna tofauti yoyote ya umeme bali umeme wa REA ni mradi uliopo chini ya REA na wateja wanalipa 27000 tu kufungiwa umeme kipindi cha mradi kikiisha bei inakuwa ya kawaida tsh 177000 ndani ya mita 30 kutoka kwenye nguzo ya umemeKuna sehemu kuna umeme wa kawaida na kuna maeneo kuna umeme wana sema ni wa sijui REA, ni nini tofauti kati ya Umeme wa TANESCO NA UMEME WA REA?
Je ENEO MOJA LINAWEZA KUWA NA UMEME WA TANESCO NA UMEME WA REA, kwa nini.
Hakuna tofauti yoyote ya umeme bali umeme wa REA ni mradi uliopo chini ya REA na wateja wanalipa 27000 tu kufungiwa umeme kipindi cha mradi kikiisha bei inakuwa ya kawaida tsh 177000 ndani ya mita 30 kutoka kwenye nguzo ya umeme
Miradi ya REA inakuwa na umbali ulionyeshwa nje ya hapo inakuwa kawaida.tunaomba maelezo zaidi ya kwako ilikuwaje?na kiasi cha kulipa unaambiwa na ofisi husika wewe uliambiwa na naniNashukuru kwa majibu mazuri.
Sasa kama ndivyo ilivyo, kwanini kna nguzo tofauti wakati msambaza umeme ni yule yule? mfano, utakuta kuna nyumba mbili tofauti zimepakana, moja wantumia umeme wa REa na mwingine anatumia hou mwingine?
Miradi ya REA inakuwa na umbali ulionyeshwa nje ya hapo inakuwa kawaida.tunaomba maelezo zaidi ya kwako ilikuwaje?na kiasi cha kulipa unaambiwa na ofisi husika wewe uliambiwa na nani
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi
Umevumilia kwa muda gani mwenzangu.!!?Asante Tanesco Baada ya kuvumilia sana Hatimaye Nimeunganishiwa umeme. Asanteni na mbarikiwe sana
Watakupigia simu watakupa hizo unit. Mimi mwnyewe nilipewa hizo 10 wakasema hizo 40 nitapewa ndani ya wiki ila umeme unaofuata baada ya hizo unit 10 kuisha inabidi nikanunue kwenye kituo chochote cha tanesco.Mimi ni mteja niko Babati, nimefungiwa umeme siku kumi zilizopita nikapewa umeme uniti 10, umeme ukakaribia kwisha na nikaenda Tanesco nikaambia ninunue na kulipia uniti 50, ingawa hizo uniti 40 sikupewa. Nimelipia lakini ni zaidi ya wiki sasa hizo uniti 40 sijapata, na niliambiwa zikiwa tayari watanipigia simu ili nizifuate Tanesco na kusaini. Sasa sielewi uniti nimelipia halafu sipewi mpaka watakaponipigia simu!!? Hii huduma mbona inakera?
Mita no: 54182502994
Wilaya: Babati
TANESCO wanahitaji pongezi japo kuna watu wachache wanaojaribu kupoteza reputation yakeAsante sana sana mkuu, nimeshahudumiwa na nimepigiwa simu nikachukue uniti 40 zangu. Big up sana Tanesco JF, sikutegemea kama nitahudumiwa haraka hivi, inatia moyo sana.
Mkuu tulikupatia mrejesho hapo awali kuwa tunaomba uvumilivu wakati swala lenu linafanyiwa kaziSalaam Tanesco, narudi kwa mara nyingine, niliwaeleza suala la REA kwenye kijiji cha Mabuye wilaya ya Missenyi mkoani Kagera, niliwaeleza kuwa vitongoji vya KIJUKA na ITALA havijapata mhafaka juu ya kupatiwa umeme wa REA kwani inasemekana hamna ramani wala maelekezo yoyote juu ya vitongoji hivi hivyo vinaweza kurukwa bila kupata Huduma hii, mlihaidi kushughulikia na kuleta mrejesho lakini hadi sasa sijaona kitu. Nawakumbusha tena, sula hili limefikia wapi?