Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa najiuliza mheshimiwa Rais anapohujumiwa hivi mkurugenz hajui?? Haiingii akilini kutufanya wajima. Wkt Rais anapapambana tuhame ulimwengu huu wangese wanatupigia porojo. Kuna watoto wengi wamehitimu vyuo, atuondolee hawa warugaruga wapiga porojoMkipost nyie mnaandika vitu vya msingi kweli utazani watu. majuzi hapa mtaani kulitokea shida ya low voltage nawapigia najibiwa eti bora huko kuna low voltage kuna pengine umeme umezima kabisa, nikajiuliza kumbe hata low voltage ni huduma ya TANESCO. afu mda ule nawaeleza tatizo wananiambia wana taarifa tangu juzi, ha haaaa.
Mbona mamilioniIpo sawa kabisa tumeihakikia kwenye mfumo wetu na kujiridhisha kuwa ndicho kiwango halali unachopaswa kulipa
Sent using Jamii Forums mobile app
naomba kujua ni jinsi gani naweza kufanya ili kampuni yangu iingizwe kwenye list ya contractors wanaotambuliwa na Tanesco wa kutandaza nyaya kwenye majengo na kuchora ramani ,ili niweze kuhudumia wananchi,
natanguliza shukrani zangu
Ni eneo gani wilaya na namba yako ya simu tafadhaliWeek hii kuanzia jtatu mpaka jtano umeme unakatika asubuh unarud jion,week iliyopita fuse ilizingua baada ya masaa24 ndio wakaja rekebisha,leo tena fuse ile ile imeharibika tangia saa saba mchanaa mpka usiku huu bado hamjaja na taarifa tumeshatoa hamna umeme mpka saiz na ni arusha jijini et tanesco mnatutia hasara asee kinyamaa yaan hizi juhud za mh raisi mnazihujumu walah,watu tumefungua viwanda vidogo tunashindwa fanya kazi sijui asee maendeleo yanakuja vp hapa kwa mindset hii ya tanwsco asee
Tafadhali pata udhibitisho wa EWURA ndio uje TANESCO na vithibitisho vyotenaomba kujua ni jinsi gani naweza kufanya ili kampuni yangu iingizwe kwenye list ya contractors wanaotambuliwa na Tanesco wa kutandaza nyaya kwenye majengo na kuchora ramani ,ili niweze kuhudumia wananchi,
natanguliza shukrani zangu