TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Huku mikocheni A nyumba ikipata tatizo la umeme labda neutral inasumbua kwa namba moja au nyingine, ukiwapigia simu tanesco emergency wanakuja baada ya siku 3 Hadi tano. Tena wakija wana lugha sio nzuri. Yaani customer care yao ni mbaya niseme 3 ya 10. Pia Wao mda wote Wana haraka bila kuangalia mteja ameridhika au la au kufanya uchungizi wa kina. Naomba Sana wajirekebishe
 
Hivi si litokee tu shirika jingine liwape ushindani..?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
*SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)*

*Machi 18, 2020*

*TAARIFA YA KUKATIKA UMEME KATIKA BAADHI YA MIKOA KUTOKANA NA HITILAFU KWENYE MFUMO WA UMEME

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linaomba radhi kwa Wateja wake wa baadhi ya mikoa kutokana hitilafu iliyosababishwa na mvua kubwa zinazo endelea katika maeneo mengi ya nchi na kupelekea kuathiri baadhi ya miundombinu ya umeme.
Leo tarehe 18.03.2020 kati ya saa 12 na dakika 36 mpaka saa 4 na dk15 mikoa ya Nyanda za Juu Kusini, Kanda ya kati, Kanda ya ziwa, Kanda ya Magharibi na kanda ya kaskazini ilikosa umeme

*Tunaomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza.*

Tovuti: www.tanesco.co.tz

Mitandao ya Kijamii
Tanesco Yetu

Twitter, www.twitter.com/tanescoyetu,

Instagram: tanesco_official_page

YouTube: tanescoyetu

Tunaomba radhi kwa usumbufu unaojitokeza

Imetolewa na:-
Ofisi ya Uhusiano
TANESCO Makao Makuu

TANESCO Makao Makuu| 0768985100|customer.service@tanesco.co.tz
 
Dah yaan tabu iko pale pale jana mmerudisha saa sita kasoro huo umeme wenu,leo tarehe 19/3 saa mbili na dk 49 iv mmeukata tena,tunaishije sasa asee mnaboaa kinyamaa asee,na hii korona tunatakiwa tukusanye hela ikiendelea tujifungie ndani tu alaf matanesco ndo ivi mnafanya kazi asee,hasara kila siku hasara tu,yai moja sisi tunatotolesha kwa sh mia tatu unakuta mtu mmoja kakuletea mayai mia tano alaf yote yanaharibika kisa umeme na hamna anae lipia iyo hasara
 
Kuna haja ya kuwa na bima ya umene kukatika, Hasara itayopatikana baada ya umeme kukatika tujue tunaifidia vipi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)*

*Machi 18, 2020*

*TAARIFA YA KUKATIKA UMEME KATIKA BAADHI YA MIKOA KUTOKANA NA HITILAFU KWENYE MFUMO WA UMEME

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linaomba radhi kwa Wateja wake wa baadhi ya mikoa kutokana hitilafu iliyosababishwa na mvua kubwa zinazo endelea katika maeneo mengi ya nchi na kupelekea kuathiri baadhi ya miundombinu ya umeme.
Leo tarehe 18.03.2020 kati ya saa 12 na dakika 36 mpaka saa 4 na dk15 mikoa ya Nyanda za Juu Kusini, Kanda ya kati, Kanda ya ziwa, Kanda ya Magharibi na kanda ya kaskazini ilikosa umeme

*Tunaomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza.*

Tovuti: www.tanesco.co.tz

Mitandao ya Kijamii
Tanesco Yetu

Twitter, www.twitter.com/tanescoyetu,

Instagram: tanesco_official_page

YouTube: tanescoyetu

Tunaomba radhi kwa usumbufu unaojitokeza

Imetolewa na:-
Ofisi ya Uhusiano
TANESCO Makao Makuu

TANESCO Makao Makuu| 0768985100|customer.service@tanesco.co.t
 
Back
Top Bottom