ngosha2011
JF-Expert Member
- Aug 20, 2011
- 681
- 87
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dom umerudi MkuuDodoma
Singida
Tabora
Manyara
Kati ya hiyo mikoa, Kuna mkoa ambao muda huu umeme unawaka?
Uzi tayari
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona mikoa yote niliyoitaja NDio umerudi sasaiviDom umerudi Mkuu
Hivi si litokee tu shirika jingine liwape ushindani..?Huku mikocheni A nyumba ikipata tatizo la umeme labda neutral inasumbua kwa namba moja au nyingine, ukiwapigia simu tanesco emergency wanakuja baada ya siku 3 Hadi tano. Tena wakija wana lugha sio nzuri. Yaani customer care yao ni mbaya niseme 3 ya 10. Pia Wao mda wote Wana haraka bila kuangalia mteja ameridhika au la au kufanya uchungizi wa kina. Naomba Sana wajirekebishe
Kuna haja ya kuwa na bima ya umene kukatika, Hasara itayopatikana baada ya umeme kukatika tujue tunaifidia vipi.Dah yaan tabu iko pale pale jana mmerudisha saa sita kasoro huo umeme wenu,leo tarehe 19/3 saa mbili na dk 49 iv mmeukata tena,tunaishije sasa asee mnaboaa kinyamaa asee,na hii korona tunatakiwa tukusanye hela ikiendelea tujifungie ndani tu alaf matanesco ndo ivi mnafanya kazi asee,hasara kila siku hasara tu,yai moja sisi tunatotolesha kwa sh mia tatu unakuta mtu mmoja kakuletea mayai mia tano alaf yote yanaharibika kisa umeme na hamna anae lipia iyo hasara
Ndugu mpendwa mteja wetu tafadhali tujulishi ni eneo gani wilaya na namba yako ya simuWakuu naona hali imekua too much..Tanesco wanakata umeme kila mara, na inavyoonekana ni sehemu nyingi nchini..tatizo nini?