Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari huku Urambo Kijiji Cha Kasela D kata ya uyogo umeme wa REA umekomea Shuleni tu na mitaaa michache lakini mitaa mingine hawajasimika nguzo na tunahitaji kwa ajili ya matumizi na mashine za kusaga na kukoboa.TANESCO walipewa maelekezo ya kutoruka makazi ya watu pindi wanaposambaza umeme.
Katika eneo la Naliendele mkoani Mtwara umeme uko ktk mitaa ya Pwani, Mnali halafu wakaruka nyumba 400+ zilizopo pachoto A na Pachoto B wakaenda kuweka Sogea.
Wananchi wa Pachoto A na Pachoto B wanaamini kuwa walirukwa makusudi na wanasema nyumba za Sogea zinamilikiwa na vigogo wa taasisi mbalimbali ndomaana mradi wa REA wa Pachoto A na Pachoto B ukakimbizwa kule.
Wanatamani siku Mh Rais atakapokuja wamwombe awasaidie umeme kwa gharama yoyote hata kamasi wa REA
Wanaamini watendaji wa TANESCO Mtwara wana laana.
TANESCO Tanzania kazi kwenu. Meneja wenu alimuuziaga transformer mwekezaji Mh Rais akaingilia, leo mnafanya tena uhuni ngoja aje tena maana hamwezi bila kusukumwa.
Mh Rais karibu sana Mtwara baada ya likizo, karibu ili umkague mkandarasi wa barabara ya Mtwara-Newala, karibu ushangae maajabu ya TANESCO
Sent using COVID-19
Namba ya simu haina uhusiano na tatizo,unapoambiwa Pachoto A&B Mtwara Mjini ufafanuzi ni timilifuTafadhali unapotoa lalamiko au kuuliza weka taarifa kamili ya vijiji husika na namba yako ya simi kwa taarifa zaidi kutoka TANESCO
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mtumishi wa TANESCO sahivi tunamsubiri kwa hamu mzee wetu tumwambie nyie endeleeni kusubiri namba ya simuKwahili, mjomba Wala usisite, wapatie no za simu dukuduku lote litakwisha.
Binafsi nimepata ufumbuzi mwingi kupitia jamii Forum- Tanesco. Hivi Sasa Sina shaka kabisa na utendaji wao ukurasa huu uko Makini.
Bravo Tanesco.
Sasa TANESCO hapa nimeshataja maeneo mlio ruka, ni Pachoto A na Pachoto B kata ya Naliendele mkoani Mtwara. Meneja wenu anajua hili kuwa ameruka nyumba za maskini 400+ na kwenda kwa vigogo eneo la Sogea.TANESCO walipewa maelekezo ya kutoruka makazi ya watu pindi wanaposambaza umeme.
Katika eneo la Naliendele mkoani Mtwara umeme uko ktk mitaa ya Pwani, Mnali halafu wakaruka nyumba 400+ zilizopo pachoto A na Pachoto B wakaenda kuweka Sogea.
Wananchi wa Pachoto A na Pachoto B wanaamini kuwa walirukwa makusudi na wanasema nyumba za Sogea zinamilikiwa na vigogo wa taasisi mbalimbali ndomaana mradi wa REA wa Pachoto A na Pachoto B ukakimbizwa kule.
Wanatamani siku Mh Rais atakapokuja wamwombe awasaidie umeme kwa gharama yoyote hata kamasi wa REA
Wanaamini watendaji wa TANESCO Mtwara wana laana.
TANESCO Tanzania kazi kwenu. Meneja wenu alimuuziaga transformer mwekezaji Mh Rais akaingilia, leo mnafanya tena uhuni ngoja aje tena maana hamwezi bila kusukumwa.
Mh Rais karibu sana Mtwara baada ya likizo, karibu ili umkague mkandarasi wa barabara ya Mtwara-Newala, karibu ushangae maajabu ya TANESCO
Sent using COVID-19
Hapana , jomba mm sifanyi kazi Tanesco na Wala sikuzuii kusonga mbele.
Umeme huku Rau Moshi ni tatizo toka asubuhi saa 4 mpk sasahivi saa 2 usk. Shida ni nini jamani mbn hamtuambii wateja wenu?
Nashukuru, kwa kunitoa utumishi wa TANESCO .Kwa case niliyoripoti nadhani haina haja ya namba. Kuna kipindi tuliripoti kuwa meneja wa TANESCO Mtwara kauza transformer kwa mwekezaji, badala ya ku solve wakaomba namba ya simu.
Mh Rais alivyokuja akaingilia kati na mwekezaji akalipwa fedha na TANESCO. Sasa nawaambia ujinga walioufanya kwa kuruka nyumba 400+ pia wanaomba namba za simu, sasa waendelee kusubiri namba ya simu wasichukue hatua yoyote tuone
Sent using COVID-19
Isitoshe vile vi limoti vyao vya mita vinasumbua kinoma especially umeme unapokuwa umeisha kabisa, pia suala la umeme kwa waliopanga ni pasua kichwa mno, ingefaa TANESCO warahisishe gharama ya kununua mita, ikiwezekana kila chumba kiwe na mita yake.Hivi tanesco mnashindwa nn suala la LUKU kufanya km vocha kwamba ukishanunua unaingiza tu kwenye simu moja kwa moja. Nyie ukinunua luku uende tena ukaingize kwenye limita lenu, kwanini isiwe ukinunua inaingia yenywe automatically wakati namba ni ile ile?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Habari.
Miaka miwili iliyopita,waziri wa nishati, medard kalemani, alifanya ziara eneo LA bulale kata ya buhongwa jijinj mwanza, ikiwa ni maagizo ya waziri mkuu wakati akifungua zahanati ya bulalebaada ya wananchi kulalamika kuhusu ukosefu wa umeme katika eneo hili.
Katika ziara hiyo waziri aliagiza umeme uwake ndani ya wiki moja na katika kurahisisha zoezi hilo, Tanesco wafungue ofisi ya muda bulale ili wansnchi wapate huduma karibu.
Miaka zaidi ya miwili baadaye, wakazi wengi wamefanya "wiring" na kujaza fomu( mimj mmoja wao) nguzo zimewekwa transfoma imefungwa lakini umujitokeza ubaguzi kuwaunganisha wateja wapya.
Niko jirani na shule ya msingi Lumeke,eneo LA tarazo, nimeshuhudia jumanne ya wiki hii nyumba mbili zikifungwa umeme huku sisi tulio jirani na nyumba hizo tukibaki midomo wazi!
Iweje nyumba hizo, tena zilizojengwa nyuma yetu zipewe huduma hiyo ilihali, tuliojaza fomu na kuziwasilisha tanesco nyamagana, tumebaguliwa?
Vigezo gani vimetumika kuziunganisha nyumba hizo na huduma ya umeme na kutuacha wengine tena kwa kuruka nyumba nyingine?
Tunakusudia kuchukua hatua zaidi ikiwa hadi kufikia wiki ijayo, tutakuwa hatujapata maelezo sahihi ya kwanini baadhj yetu tumerukwa kupata huduma hii ilihali wengine katika eneo LA ndani ya mita 10, 20, 30 na ambako tayari kuna nguzo kwa zaidi ya miezi sita sasa hatupati huduma hizo.
Bora nyie mnauziwa sisi huku hata hatujui tufanyejeManager TANESCO wilaya ya Chemba mkoani Dodoma anatuambia wateja kuwa hakuna nguzo za mradi labda za kununua ndio zipo tulipie. Namba yangu 0683 537644
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunafuatilia ndugu mteja. TANESCO hatuuzi nguzo. Mteja anaunganishiwa umeme kwa umbali (mita)Manager TANESCO wilaya ya Chemba mkoani Dodoma anatuambia wateja kuwa hakuna nguzo za mradi labda za kununua ndio zipo tulipie. Namba yangu 0683 537644
Sent using Jamii Forums mobile app