Technology
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 769
- 284
Mkuu umeme ukikatika biashara zinaharibika na hata hela ya kununua cement haipatikaniVipi bei ya cement huko?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umeme ukikatika biashara zinaharibika na hata hela ya kununua cement haipatikaniVipi bei ya cement huko?
....hakuna tatizo, lakini lazima wanaoishi kama malaika lazima washushwechini waishi kama mashetani, ili lipate kutimia neno la Mkombozi wa wanyonge, na si Tanzania ya viwanda tena... sijui nini tatizo?
Hofu yangu ni kwa Rice cooker za hashimu Rungwe zisije zikapigwa shot tukakosa kula ubwabwa,....hakuna tatizo, lakini lazima wanaoishi kama malaika lazima washushwechini waishi kama mashetani, ili lipate kutimia neno la Mkombozi wa wanyonge, na si Tanzania ya viwanda tena
Mkuu kabla sijaufungua huu uzi wa jamaa alikuwa ameandika kichwa Cha habari Cha tofauti so nilipofungua nikaona mabadiliko.. so nikajua mods wameshacheza nao easy like that.. jamaa alikuwa kaandika ki zero iq Kama jina lake..😜Umejuaje mkuu
Siyo leo tu naiona hii tabia ya Tanesco kukata kata umeme na ndani ya dakika moja Wanakuwa wamerudisha,
Kwa siku wanaweza fanya hivyo zaidi ya mara tano na sijui nini tatizo?
Leo tena naona hali hii imeanza hapa Dodoma ni mara ya pili sasa mnakata umeme na kurudisha,
TANESCO kumbukeni tuna mavitu yetu ya gharama kama mafriji, marice kuka makubwa makubwa kama ya Hashimu Rungwe tunapikia ubwabwa. Tunamacomputer, maprinter na Nk. Yanatumia huo umeme mnaokata kata kila dakika na kurudisha kama watoto, hivyo vitu vikiungua nani atalipa gharama.
Kama kuna shida mahala mtupe taarifa, au kama kuna shoti inayopelekea kujivyatua kwa socket braker yenu huko makao makuu ya Tanesco mtuambie.
Au pia kama kuna wanafunzi wa field wanafundishwa mmoja mmoja jinsi ya kuwasha na kuzima Menu switch ya kutusambazia umeme mtuambie.
Mnatukosesha Amani kwa kweli,leo hii mnavyofanya hivyo mkiunguza Rice cooker za mzee Rungwe wali wa kwenye kampeni tutakuwa tunakula wapi?
Kuweni na huruma Tanesco kama Tanesco.
Mkuu kabla sijaufungua huu uzi wa jamaa alikuwa ameandika kichwa Cha habari Cha tofauti so nilipofungua nikaona mabadiliko.. so nikajua mods wameshacheza nao easy like that.. jamaa alikuwa kaandika ki zero iq Kama jina lake..[emoji12]
Tunapenda kupata mawasiliano ya mteja ili kumpigia na kumsikiliza zaidi kwani tatizo la Ubungo sio lazima liwe la Kimara tunakuletea elimu ya kwanini tunaomba taarifa kamilo hivi pundemkuu TANESCO namba za simu za nini wakati umeme unakatika eneo kubwa?hebu angalia malalamiko haya humu angalia maeneo shughulikia.Unaambiwa,Ubungo,mwingine Msewe,Baruti,mimi nakuambia Kimara mwisho,Mbezi..bado hujajua hiyo ni wilaya moja ya kikazi Tanesco?Tanesco Kimara iko shida.Fuatilia utusaidie mkuu TANESCO .Umeme miezi ya nyuma ulitulia lakini sasa hivi unakatikakatika sana.Sometimes muda mrefu saomtimes for 20 to 30 minutes lakini hii haiondoi kero kwa mtumiaji.Tulizeni umeme jamani nyinyi watu.daah!sijui tuwaambieje yaani.
*TUPATIE TAARIFA SAHIHI NA FASAHA KWA HUDUMA BORA*mkuu TANESCO namba za simu za nini wakati umeme unakatika eneo kubwa?hebu angalia malalamiko haya humu angalia maeneo shughulikia.Unaambiwa,Ubungo,mwingine Msewe,Baruti,mimi nakuambia Kimara mwisho,Mbezi..bado hujajua hiyo ni wilaya moja ya kikazi Tanesco?Tanesco Kimara iko shida.Fuatilia utusaidie mkuu TANESCO .Umeme miezi ya nyuma ulitulia lakini sasa hivi unakatikakatika sana.Sometimes muda mrefu saomtimes for 20 to 30 minutes lakini hii haiondoi kero kwa mtumiaji.Tulizeni umeme jamani nyinyi watu.daah!sijui tuwaambieje yaani.