Teamanaconda
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 602
- 564
Naomba kujua jinsi ya kubadilishwa tariff,mita no 24213664451
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari za leo,Tafadhali onyesha
Jina
Eneo
Wilaya
Simu
Tatizo
Toka saa ngapi
Kwa hatua zaidi
Jmosi hii TANESCO umeme hakuna tena laini ya ya dawasco kimara mwisho.Ahsante kwa taarifa tunaifanyia kazi
Mita za RUKU huwa zinakuwa na madeni au bado una mita ya enzi hizoHabari za leo,
Naitwa: Faridi Ngamange
Eneo: Ilala,Ukonga-Kipunguni B
Simu: 0658915681/0625616918
Tatizo: Jana jioni/mchana kuna watu walikuja waliojitambulisha kuwa wanatoka tanesco wakakata umeme kwa madai kuna mita yangu ya awali ilikuwa na deni. Wakaacha barua na namba zao za simu, Licha ya hayo wakachukua namba zangu na kuanza kunipigia mara kadhaa.
Mpaka sasa sina umeme leo asubuhi nimeenda tanesco mzambarauni/gongo la mboto walipoangalia mita haina deni bt wamenielekeza niende makao makuu j3.
Naomba msaada plz
Tanesco Wilaya mbinga ni majanga.Tanesco tunaomba mtupatie Namba za simu za mameneja wa kila wilaya,anza na wilaya ya mbinga
Ukiona wamefikia hatua hiyo ya kuomba namba ya Meneja jua Kuna tatizo.Tafadhali tumie huduma kwa wateja huu ndio mfumo sahihi kutoa taarifa
TANESCO kuna swala tena dogo Sana nimelifuatilia ofisi za wilaya nimeshidwa tatuliwa.Nimekuwa ni mtu wa kutembea kila siku njiani sababu ya wapuuzi wachache ambao lengo lao ni kutaka rushwa,, nimepatwa na hasira Sana sababu mnakela Sana.Tambueni hizo sio ofisi zenu ila ni ofisi za watanzania wote.Dhamira yangu ilikuwa kutoa taarifa kwa kiongozi wa juu kabisa ili nipatiwe ufumbuzi lakini nimeona sio vizuri ni bora nikaanza kumtaarifu meneja wa wilaya.Na nimeomba Namba ya meneja kwa sababu tatizo langu limeshindwa tatuliwa kwa hao mnaoita huduma kwa wateja.Na mnaniambia niwasiliane na huduma kwa wateja ilihali wao ndo wanaonisumbua.Sasa tutaoneshana, Namba ya mheshimiwa Waziri kalemani ninayo hii hapa 0754562366.Nitampigia kesho nikiwa ofisini kwaoTafadhali tumie huduma kwa wateja huu ndio mfumo sahihi kutoa taarifa
Ni mita ya lukuMita za RUKU huwa zinakuwa na madeni au bado una mita ya enzi hizo