John Gregory
JF-Expert Member
- Jul 14, 2019
- 1,137
- 2,147
Ameshindwa kuchukua hatua yoyoteRais ni meneja TANESCO?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameshindwa kuchukua hatua yoyoteRais ni meneja TANESCO?
Ndiyo.Ameshindwa kuwachukulia hatua hao wahusika wateule wakeAjiuzuru sababu friji yako imeungua?
waziri ana kazi gani?Ameshindwa kuchukua hatua yoyote
Huyo waziri kateuliwa na nani? Nani anapaswa kumchukulia hatua??waziri ana kazi gani?
Hayo ni majukumu ya waziri husikaHuyo waziri kateuliwa na nani? Nani anapaswa kumchukulia hatua??
Uzembe na udhaifu wa Rais ndiyo maana mawaziri hawana hofu kufanya uzembe kwakuwa wanajua mkuu wao hana meno!Hayo ni majukumu ya waziri husika
Kubalini kuwa dikteta hayupo tena dunianiUzembe na udhaifu wa Rais ndiyo maana mawaziri hawana hofu kufanya uzembe kwakuwa wanajua mkuu wao hana meno!
Matako ya bibi yako! Tunaongelea kukosa umeme na kuharibikiwa vifaa vya ndani unaongelea habari za sijui dikteta, inahusikaje??Kubalini kuwa dikteta hayupo tena duniani
Mpaka sasa saa saba mchana hakuna umeme Kimara Mwisho.Hizi taarifa zangu kuhusu Kimara mwisho.Kila wiki nakuja na taarifa kama hizi.Na bado tatizo linaendelea.
Hapa leo tarehe 10 June 2021.Hakuna umeme almost usiku mzima na asubuhi hii haupo.
Saa kumi inakaribia sasa.Umeme unakatwa zaidi ya 8 hrs bila taarifa bila lolote na mnaona sawa.Mpaka sasa saa saba mchana hakuna umeme Kimara Mwisho.
Gharama ya kuunganishiwa umeme ni T sh27000 tu kwa wateja ambao wamefikiwa na miundombinu ambao hawajafikiwa Shirika linaendelea kuchukua hatua za kusogeza huduma hii muhimu ili nawo wafikiwe kwa awamu zaijazo.Tanesco ni shirika la umma jeuri kuliko yote...sasa hivi wanasema hiyo elfu 27 ni mpaka nguzo iwe karibu yako na kama unahitaji nguzo subiri mpaka Tanesco wakufikie...
Hao ma-surveyor bila pesa hawaji tena wamejiwekea viwango kulingana na maeneo..
TANESCO tulienae humu hana MENO..anakusanya data tu na kuomba namba za simu...ni Nyuki wa mashineni
Gharama ya kuunganishiwa umeme ni T sh27000 tu kwa wateja ambao wamefikiwa na miundombinu ambao hawajafikiwa Shirika linaendelea kuchukua hatua za kusogeza huduma hii muhimu ili nawo wafikiwe kwa awamu zaijazo.Tafadhali tambua malipo yote yanafanyika bank kupitia control number unayopatiwa malipo
Gharama ya kuunganishiwa umeme ni T sh27000 tu kwa wateja ambao wamefikiwa na miundombinu ambao hawajafikiwa Shirika linaendelea kuchukua hatua za kusogeza huduma hii muhimu ili nawo wafikiwe kwa awamu zaijazo.Tafadhali tambua malipo yote yanafanyika bank kupitia control number unayopatiwa malipo mengine yeyote nje ya hayo
Hivi mita za REA kigamboni mnaleta lini?..Gharama ya kuunganishiwa umeme ni T sh27000 tu kwa wateja ambao wamefikiwa na miundombinu ambao hawajafikiwa Shirika linaendelea kuchukua hatua za kusogeza huduma hii muhimu ili nawo wafikiwe kwa awamu zaijazo.Tafadhali tambua malipo yote yanafanyika bank kupitia control number unayopatiwa malipo mengine yeyote nje ya hayo haruhusiwi
Ili umeme uwafikie wananchi kwa haraka waajiri kandarasi hata mijini kama wa REA ndiyo umeme utawafikia wananchi kwa haraka,ni kweli watu wengi mijini hawajaunganishwa na umeme kwasababu mbali mbali ikiwamo wa Tanesco kuwa na wafanyakazi wachache na vifaa unaweza kukuta wilaya haina mafundi wa kutosha kwahiyo inakuwa kazi kuunganisha wateja kwa wingi,halafu ikumbukwe wilaya zote hazina store ya vifaa mpaka mikoani.Tunashukuru kwa taarifa tumepokea kwa hatua zaidi.Tafadhali tambua usambazaji wa umeme maeneo mbalimbali nchini unaenda kwa awamu mbalimbali hivyo kila eneo litafikiwa kwa awamu zijazo
Naomba mawazo yenu kwa tatizo hili: natumia unit 8 kutwa.
Nina frigdge moja ndogo, taa energy saver kama 5 zinawaka saa 12 a day, tv mbili zinatumika kama saa 5 a day, . Nadhani unit 8 a day huu ni umeme mwingi ninao tumia.
Tatizo linaweza likawa wapi? Nimeleta fundi akacheki wiring akasema iko vizuri.
Ushauri tafadhali.
Asante