TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Nipo maeneo ya manispaa ya kahama kijiji Cha lowa kitongoji Cha ifukili napenda kuuliza ivi kulipia helaa ya kufungiwa mita lazima uwe umeshafanya wayalini?
 
Kufungiwa umeme eneo
Ilipo nguzo nyenye umeme mpaka nyumban
Panahitaji nguzo mbili TANESCO
Nafaa kulipa shilingi ngapi
Kwa nguzo mbili
 
Kufungiwa umeme eneo
Ilipo nguzo nyenye umeme mpaka nyumban
Panahitaji nguzo mbili TANESCO
Nafaa kulipa shilingi ngapi
Kwa nguzo mbili
Mpaka uchukue form upimiwe ndio tunaweza kukujulisha.kwa sasa bei ni Tsh 27000 tu na mteja halipii nguzo wala vifaa vingine
 
Ahsante tumepokea taarifa
Hivi huu utaratibu wakubadili tariff kila Mara mbona sio utaratibu mzuri hii ni Mara ya tatu nabadili tariff na matumizi yangu ni chini ya units 30 kwa mwezi ,Leo nimeshindwa kununua umeme naambiwa niwasiliane na tanesco kama ni ukaguzi mlishapita hii ni rushwa ,namba ya meter 24210087060 kama kuna namna inayofaa mnishauri hii so sawa hata kidogo
 
Tanesco mnaboa jaman huku mbagala kilungule mnakata uneme kila siku mchana na mnarudisha saa tatu usiku leo n siku ya nne mfululizo mna shida gan jaman mbona enz za mwendazake hamkuwa hivi?

Hapa napoongea mmekata Tena

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
YAANI HUU MSHIRIKA WENU WA TANESCO UONGOZI WENU WOOOTE NI HOVYO KABISA....MCHUKIE,MKASIRIKIE ILA HUO NDO UKWELI....MNAWEZAJE KUKATA UMEME TOKA SAA SABA MCHANA HUKU KIMARA NA MPAKA SASA SAA MBILI KASORO USIKU BADO HAMJARUDISHA NA HAKUNA TAARIFA YOYOTE ILE MLIYOTOA.

NARUDIA KUSEMA UONGOZI WENU WOTE NI TAKATAKA KABISAA.YAFAA MBADILISHWE HARAKA IWEZEKANAVYO😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠
 
HOVYO KABISAAA NYIE😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠
 
MASAA SABA BILA UMEME NA BADO TUNAONA TUNA SHIRIKA LA UMEME KWELIII????....HIVI HUWA MNAJITAFAKARI KWELI NYIE😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠😠
 
jina; ROSE S TARIMO

pnone no; 0689 260 569

meter no; 24212124036

eneo; arusha

tatizo; nimenunua umeme toka jana saa 11 jioni kupitia nmb mobile lakini sijatumiwa tokens mpk sasa
 
Yule mzee alisema tutamkumbuka sasa naelewa aisee , sisi kuna mahali hatuko sawa kama si kichwani basi kwenye mioyo yetu. Hii nchi labda tuletewe malaika wa kuiongoza sasa.

Tanesco sasa mnajikatia umeme mnavyojisikia bila taarifa , hata Luku hazipatikani , Wanasiasa wanabambikwa kesi za kigaidi we ukipinga serikali tu nigaidi , Rais yupo yupo tu hafanyi lolote , Teuzi mtu mmoja anapewa nafasi 2 wakati maelfu hawana kazi.... nchi nzito hii
 
Tanesco tunaomba mfike Kijiji Cha Ilunda,kitongoji Cha Lyalamu kata ya Mtwango,Mkoani Njombe transformer inayosuply umeme wa REA imelipuka Toka Juzi jumatatu hakuna mafundi waliofika kuitengeneza wakazi wanaotumia huduma hiyo wanataabiika!
 
Tanesco Hii thread mliiweka mapambo au mbona tunatoa taarifa hamjibu Aisee,Kuna malalamiko humu hayajibiwi Kwa wakati mnazingua Aisee!
 
TANESCO Umeme hakuna tangu asubuhi, namba zenu nazo hazipatikani au simu yenu imeisha chaji na nyie hamna umeme??!!
 
Back
Top Bottom