TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Hatuna umeme hapa pugu road tangu jana, tunaomba kurudishiwa haraka, uzalishaji umesimama
 
Habari TANESCO
Maeneo ya Mbagala na baadhi ya maeneo ya TEMEKE ni wiki sasa tunakatiwa umeme asubuhi na kurudi ni usiku kwa muda usio wa uhakika naomba kujuzwa tatizo ni nini na kwanini? Shida hii mpaka lini?

Naomba jibu la uhakika tafadhali
 
Habari TANESCO
Maeneo ya Mbagala na baadhi ya maeneo ya TEMEKE ni wiki sasa tunakatiwa umeme asubuhi na kurudi ni usiku kwa muda usio wa uhakika naomba kujuzwa tatizo ni nini na kwanini? Shida hii mpaka lini?! Naomba jibu la uhakika tafadhali
Ahsante kwa taarifa tunaifanyia kazi
 
20210717_204358.jpg

Tunaomba vifurushi vya bure vya usiku
 
0745 044 072/ 0626 383 440
Naomba msaada! Kwa muda mrefu nimekuwa kwenye kundi la watumiaji umeme 'zero tarrif'! Ila leo nimeshangaa nimenunua umeme na kukuta kiasi cha umeme nilichopata kinaonesha dhahiri mmenitoa kwenye kundi hilo! Matumizi yanvu bado ni madogo hayavuki unit 50 kwa mwezi! Naomba msaada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ni nchi nzima wanatutoa ila ngoja waje wa tanesco watolee ufafanuzi
 
Ahsante kwa taarifa mpendwa mteja wetu, tumepokea kwa hatua zaidi

Mita namba = 43002630549 button zake hazibonyezeki, kwa hiyo hatuwezi kuingiza tokeni. Takribani mwezi wa pili sasa hakuna msaada wowote kutoka ktk ofisi ya Tanesco tawi la Kibara wilaya ya BUNDA (licha ya kuwataarifu mapema sana).
Namba zangu ni 0623340895
Namba za ofisi ya Tanesco-tawi la kibara ni 0782788802

Mpaka Leo hii hakuna suluhisho lolote licha ya kauli ya matarajio kutoka makao Makuu TANESCO.
Ofisi tawi lA kibara hawaeleki, na simu hawapokei wala kujibu message yoyote.
 
Ahsante kwa taarifa mpendwa mteja wetu, tumepokea kwa hatua zaidi
blue bahari said:
Mita namba = 43002630549 button zake hazibonyezeki, kwa hiyo hatuwezi kuingiza tokeni. Takribani mwezi wa pili sasa hakuna msaada wowote kutoka ktk ofisi ya Tanesco tawi la Kibara wilaya ya BUNDA (licha ya kuwataarifu mapema sana).
Namba zangu ni 0623340895
Namba za ofisi ya Tanesco-tawi la kibara ni 0782788802
Tunaombeni msaada wenu, tuko gizani ni mwezi wa pili sasa.
Mpaka sasa hakuna suluhisho lolote lililopatikana licha ya matumaini mazuri kutoka makao Makuu TANESCO.
Ofisi tawi la Kibara-Bunda hawapokei simu wala kujibu message yoyote.
 
“MOTO KWENYE TRANSFORMER YA TANESCO UMETOKEA TAKRIBAN DAKIKA 30 ZILIZOPITA” CHAAJABU NA CHAKUSHANGAZA PAMOJA NA KUWAPIGIA SIMU TANESCO MIKOCHENI KITUO KILICHO TAKRIBAN MITA 400 KUTOKA KWENYE TUKIO ZAIDI YA MARA 4 HAKUNA JITIHADA ZA “HARAKA” KAMA LILIVYO NENO ZILIZOCHUKULIWA, BAADA YA SAAMOJA KUPITA NA SISI MAJIRANI KUCHUKUA HATUA ZA KUZIMA KWA FIRE EXTINGUISHER NA KUFANIKIWA KUZIMA NDIO LIKAJA GARI LA ZIMAMITO LAKINI TANESCO MPAKA DADIKA HII HAWAJAFIKA, KWAKWELI HILI SUALA NTALIFIKISHA KWA WAZIRI, HAIWEZEKANI UZEMBE WA NAMNA HII KUKUBALIKA KAMA UJIRANI ULIOPO NA ENEO LA TUKIO TENA KWENYE MAENEO YALIYO PANGIKA JIRANI NA CLOUDS TV RESPONCE INAKUA HIVI. TANESCO YOUR VERY IRRESISTIBLE AND INACTIVE WHEN IT COMES TO EMERGENCY RESPONCE
 
Wakuu #tanesco. Kuna tatizo langu nimewa PM. Naomba msaada rafadhali.
 
Back
Top Bottom