Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,107
- 9,671
Sidhani kama site ya kutoa malalamiko inachagua jinsi ya kuripoti tatizo. Na hii kauli yenu ya tunatatua tatizo nadani ya saa 24 toka mteja katoa huduma ina tija!Ahsante kwa taarifa tunaifanyia kazi
Nimetoa taarifa na kupewa namba ya taarifa nimekuja kushangaa napigiwa simu na kutolewa kauli ya kushutumiwa juu ya taarifa niliyota hapa na kupigiwa cm ambayo mimi kama mteja wenu sikuona mantiki na pia ni simu ambayo haina staha kbs. Je huu ukurasa sio rasmi kwenu Tanesco?
Na je ni kosa kuleta malalamiko hapa. Najiandaa kulala giza tena na leo najua fika hamtokuja na sina nia tena ya kukumbushia hili, Ila tu nimesikitishwa na simu ya mfanyakazi wenu ambaye katumia simu namba 0788379696.