Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa, ngoja nidemkie huko
Sawa, ngoja nidemkie huko
Mkuu we ni mgeni katika hili taifa letu ?Wakuu leo AIRTEL na TIGO, luku imegoma! naomba anaejua mitandao mwingine ninayoweza kununua umeme aniambie.
Hadi kwa wakala mtandao hakunaKwa mawakala vipi kwani?
Pole mkuu nivile unit hazifai kupunguzia mtuHadi kwa wakala mtandao hakuna
Anatoa taarifa. Mfano hapa kwetu tumeshahangaika hadi basiSo what?
Ila unaweza mnunulia 😂😂Pole mkuu nivile unit hazifai kupunguzia mtu
Mtandao sasaIla unaweza mnunulia 😂😂
Menyu yao ni ngap ngapi mkuuKwa leo mtandao wa ttcl ndio unaokubali kununua umeme wa luku, mingine nimeshindwa!
*150*71#Menyu yao ni ngap ngapi mkuu
shukraan mkuu*150*71#