TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Kwa leo mtandao wa ttcl ndio unaokubali kununua umeme wa luku, mingine nimeshindwa!
 
Wakuu leo AIRTEL na TIGO, luku imegoma! naomba anaejua mitandao mwingine ninayoweza kununua umeme aniambie.
Mkuu we ni mgeni katika hili taifa letu ?

Hivi kuna mtandao usio na huduma hii ya kununua Luku ?, Ingawa mara nyingi ikizingua mtandao mmoja inaweza kuzingua na mingine alternatively kama ni sehemu ulipo hata jaribu kuwaomba ndugu zake wa mikoa mingine wakununulie
 
Ila Tanesco ktk ishu za kununua umeme kwa luku mnakera sana,natamani tungekuwa na mashirika mengi Kama ya simu at least
 
Kwamba wanatushawishi turud nyumbani kumenoga [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom