Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
Siyo MimiTumeona taarifa yako instagram tunakujibu tafadhali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo MimiTumeona taarifa yako instagram tunakujibu tafadhali
Ndugu mpendwa Mteja wetuTunapata shida ya kulipia umeme mita mpya ila kuunganisha imekua NI shida sana zaidi ya wiki 3
Tafadhali onyesha namba ya mita na namba ya simu kwa hatua zaidiJacklin Nyigu eneo NI mita za shule ya MSINGI LYAMKO Wilaya NI kilolo . Tatizo NI kutosajiriwa kwa mita mpya kwa muda wa wiki 3 baada ya kuweka sealed hivyo kushindwa kununua umeme toka lini 10/6/2021
Tunafanyia kazi tafadhali mpendwa mteja wetuDotto Abdallah mayaya
Nipo kigogo mkwajuni
Nimetoa Los report Tanesco Emergency
TB No , KST 072021 TB 0893
Dept; EMERGENCY
DATE 8 /7/ 2021
tatizo la metter imexpire tokea tarehe 7/7/2021
Nimepiga sim Tanesco awakuja
Nimeenda ofisi Magomeni zaid ya mara tatu
Napewa story tu mafundi wanakuja mafundi wanakuja lakini wapi awatokei
Nimeacha kazi zangu zote kila siku Tanesco wakitoa ahadi wanakuja narudi nyumbani kuwasubiri mbaka kiza kinaingia hakuna kitu
Naomba Tanesco makao makuu mnipe ahadi ya kweli ni lini mtakuja kunibadilishia hii meter kwa maana mnanipa usumbufu mkubwa mno wa kulala giza na wa kuja kila leo Tanesco kufatilia huduma… tafadharini sana Tanesco makao makuu najua uadilifu wenu na utendaji wenu wa papo kwa papo… aksanteni.
Dotto Abdallah mayayaDotto Abdallah mayaya

Nashukuru nimepata kiremote/king'amuzi kingine japo imechukua muda mrefu. Maana nilikipeleka 25 February, 2021, ndio nimepewa kingine wiki hii 13 July.Tafadhali fika nacho ofisini
Tafadhali onesha ni eneo gani? wilaya gani namba ya simu, tatizo na namba ya taarifa kwa hatua zaidiHabari za Tanesco.
Nina changamoto ya umeme mwezi wa pili huu naahidiwa kuja kutatuliwa tatizo langu lakini hakuna msaada ninao pata nilifika mpaka ofisini kwenu Mara mbili zote naambiwa mnakuja lakini kimya miezi miwili sasa watu wanalala gizani nasaidiwaje? huenda nikapata msaada hapa Mana ofisini naishia kupewa maneno tu
Inachukua muda gani mpaka kupata huduma ya umeme? Kuunganishiwa umeme?Huduma imeanza kwa wateja wote waliofikiwa na miundombinu ya umeme.Karibu sana
Mwaka na nusu kama umelipia 27k, ila kama umelipia 300k ni siku mbili tu umeme unaungwaInachukua muda gani mpaka kupata huduma ya umeme? Kuunganishiwa umeme?
Mkoa wa dar es salaam, wilaya ya kinondoni eneo la mwenge mlalakua.Tafadhali onesha ni eneo gani? wilaya gani namba ya simu, tatizo na namba ya taarifa kwa hatua zaidi
Sijui Kama nimeelewa Ila meter number ni 43001378942Tafadhali onyesha namba ya mita ya taarifa imetolewa lini