Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio nmeweka kupitia mita yangu,awali nilikuwa na unit 0.00Je umeweka huo umeme kwenye mita yako ukaingia? Je mita ilikuwa na unit ngali hapo awali?
Tafadhali tusaidieNdugu zangu Tanesco inachukua muda gani kubadilishiwa mita ya LUKU baada ya kupripoti ikiwa mita ya awali imeharibika/imeshindwa kufanya kazi?
Nyie tanesco sijui nini mnataka nyumba iunguee ama tupigwe shoti tangu 2019 tunawaletea malalamiko muje muinue waya zenu zipo chini yaani ukinyoosha mkono tyu unazifikiaa mbaya zaidi zimepita kwenye nyumba yangu kiasi kwamba ni hatari kwa mazingiraaa ila mnapotezeaaa mnashidaa gani nyie majamaaTafadhali tusaidie
Namba ya mita
Wilaya
Namba ya taarifa
Tatizo
Toka lini
Kwa hatua zaidi
Huduma kwa wateja
TANESCO Makao Makuu
Tafadhali tusaidie taarifa hizo hapo juu tukuhudumieNyie tanesco sijui nini mnataka nyumba iunguee ama tupigwe shoti tangu 2019 tunawaletea malalamiko muje muinue waya zenu zipo chini yaani ukinyoosha mkono tyu unazifikiaa mbaya zaidi zimepita kwenye nyumba yangu kiasi kwamba ni hatari kwa mazingiraaa ila mnapotezeaaa mnashidaa gani nyie majamaa
Ili kuwa na mita zaidi ya moja lazima tujiridhishe kuwa mita ya sasa imefikia matumizi yanayotulazimu kuwa na mita nyingine, kama ni kwa ajili ya usimamizi wa wapangaji wako unadhauriwa kufunga mifaa maalumu vya kusoma matumizi yao na sio kuongeza mita nyingine.Habari za kazi. Nimejenga nyumba manzese, ina wapangaji wanne kila mmoja anajitegemea. Sasa nimeomba meter nne za umeme TANESCO Magomeni. Nimepatiwa mbilik tu hizo nyingine naona mda mrefu nafuatilia. Nimejibiwa kuwa haiwezekani nyumba moja kuwa na meter nne. Swali langu meter separation haipo tena TANESCO? Maana muhudum kanijibu kama namkera kidogo. Kwa sababu appartment ukiweka meter moja nyumba kubwa unakosa wateja wanaotaka kutumia kila mtu meter yake ili ku even gharama ya umeme.
Tafadhali tusaidie taarifa hizo hapo juu tukuhudumie
Salaaam!
Mimi naishi Shinyanga mjini, maeneo ya Ushirika, karibu na shule ya msingi ya Ushirika, kuelekea Magereza. Imekuwa ni kawaida maeneo yetu kukatika umeme mara kwa mara, maeneo yetu haya. Tunatoa taarifa sehemu husika, lakini kuja kurekebisha, zinaweza kupita hata siku mbili.
Cha kushangaza, maeneo haya, kwa mwezi umeme unakatika, hata mara tatu. Hivi, mmekosa njia ya kulimaliza hili tatizo? Kule Tanesco, sina shaka kile kitabu cha taarifa, zimejaa taarifa zetu.
Niandikapo taarifa hii, toka jana mchana hatuna umeme, na taarifa tuliitoa, lakini hatujapata msaada.
Ndugu mpendwa Mteja wetuUkishalipia kuunganishiwa umeme kama hapahitaji nguzo inachukua siku ngapi
Jina : Abdallah Bakari MohamedNdugu mpendwa Mteja wetu
Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Namba ya taarifa
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
Malipo.yako yamepokewa tarehe 8/10/2021 tuneyapokea kwa hatua zaidiJina : Abdallah Bakari Mohamed
Eneo: Mbezi msumi ( Tegeta A)
Wilaya; Ubungo
Simu: 0767106090
Tatizo: Imenichukua miezi miwili kasoro kupata control namba, baada ya kupata control namba nimeambiwa nikalipie kisha nikaambiwa nisirudi tena mpaka nitakopigiwa simu lakin sijaambiwa inachukua muda gani mpaka kupigiwa simu. Eneo langu halihitaji nguzo