TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
TANESCO huu umeme huku mbezi beach mnarudiaha saa ngapi! ? Naona sasa mmezidi huu ni ujinga wa hali ya juu. Naanza kukubaliana na watu wanaomkataa Waziri wa nishati
 
TANESCO huu umeme huku mbezi beach mnarudiaha saa ngapi! ? Naona sasa mmezidi huu ni ujinga wa hali ya juu. Naanza kukubaliana na watu wanaomkataa Waziri wa nishati
Surveyors na waunganishaji service line wanalihujumu shirika kwa kuchelewesha wateja wapya,ili kijipatia manufaa binafsi.
 
Je mmeshindwa kutatua tatizo la umeme kukata kata kila siku wilaya ya Ukerewe??
Kama kuna match kubwa, umeme unakatwa makusudi ili watu wajae kwenye ukimbi wa WEMBLEY SOCCER SHOW (inasemekana wanahonga ili umeme ukatwe).

Pili, inasemekana umeme unakatwa makusudi ili wafanyakazi wa tanesco walipwe zile hela za OVERTIME.
 
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi
 
Nimelipia umeme tangu tarehe 29 september lakini hadi leo hii sijaunganishiwa umeme, na pale hapahitaji nguzo kabisa, naomba msaada wenu jamani
Tunashukuru kwa taarifa tafadhali onesha namba ya simu ukiyoandika kwenye form.yako
 
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi
Msiishie tu kusema mmepokea taarifa, tunahitaji kuona mabadiliko. Wanadai shida ya umeme kukatika ukerewe ni pale wanapovushia umeme kutoka Msoma kuja ukerewe. Je, Tanesco mmeshkndwa kusimika nguzo imara za kuvusha umeme ukawa wa uhakika wilayani Ukerewe??

Yaani ukija tu upepo Umeme unakatika.
Ikija mvua umeme unakatika jamani!!!.

Kuhusu hilo la umeme kukatwa makusudi ili watu wajae WEMBLEY SOCCER SHOW nalo mlifanyie uchunguzi, ishakuwa kero sana. Kama hamuamini mfatilie tar 11-12-2021 siku ya Simba vs Yanga kama umeme hautakatika kuanzia saa 10 jioni.
 
Back
Top Bottom