Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Surveyors na waunganishaji service line wanalihujumu shirika kwa kuchelewesha wateja wapya,ili kijipatia manufaa binafsi.TANESCO huu umeme huku mbezi beach mnarudiaha saa ngapi! ? Naona sasa mmezidi huu ni ujinga wa hali ya juu. Naanza kukubaliana na watu wanaomkataa Waziri wa nishati
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidiJe mmeshindwa kutatua tatizo la umeme kukata kata kila siku wilaya ya Ukerewe??
Kama kuna match kubwa, umeme unakatwa makusudi ili watu wajae kwenye ukimbi wa WEMBLEY SOCCER SHOW (inasemekana wanahonga ili umeme ukatwe).
Pili, inasemekana umeme unakatwa makusudi ili wafanyakazi wa tanesco walipwe zile hela za OVERTIME.
Nimelipia umeme tangu tarehe 29 september lakini hadi leo hii sijaunganishiwa umeme, na pale hapahitaji nguzo kabisa, naomba msaada wenu jamaniTumepokea taarifa kwa hatua zaidi
Tunashukuru kwa taarifa tafadhali onesha namba ya simu ukiyoandika kwenye form.yakoNimelipia umeme tangu tarehe 29 september lakini hadi leo hii sijaunganishiwa umeme, na pale hapahitaji nguzo kabisa, naomba msaada wenu jamani
0788 596 760Tunashukuru kwa taarifa tafadhali onesha namba ya simu ukiyoandika kwenye form.yako
Time frame yenu inasema lini sasa at least nikae najua baada ya mwezi au miezi miwili!Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi.Kazi yako ipo kwenye orodha tukikamilisha kuwafungia waliolipia mbele yako tutakufungia na wewe
Msiishie tu kusema mmepokea taarifa, tunahitaji kuona mabadiliko. Wanadai shida ya umeme kukatika ukerewe ni pale wanapovushia umeme kutoka Msoma kuja ukerewe. Je, Tanesco mmeshkndwa kusimika nguzo imara za kuvusha umeme ukawa wa uhakika wilayani Ukerewe??Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi
Location inasoma sehem moja?Kuna kazi zako mbili zenye majina tofauti lakini namba yako je unahusikaje zote?
Yangu inasoma jina Y...hTatizo jinsi tofauti ndio tunajuliuliza yako ni ipi na nini kimepelekea kuwa na majina tofauti?
Mmiliki bossJe wewe ni mmiliki? Au fundi?
TayariTutumie kitambulisho chako copy DM cha NIDA