shankal
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 372
- 324
Hongera kwako mimi wameniweka nyumbani hadi saa hizi sijaenda mishe alafu siwaoniHatimae jana nimefungiwa umeme baada ya kufatilia tangu June.
Mabadiliko niliyoambiwa ni haya.
1. Mita mpya utakopeshwa unit 10 tu na sio 50 kama zamani.
2. Nimeungiwa Dec lakini natakiwa kulipia kodi y pango tangu kunza kwa mwaka mpya wa fedha yani nitalipa July- Dec miez saba hiyo 7, 000
Kwa maana hiyo nitakaponunua umeme kwa mara ya kwanza natakiwa kulipa kwanza unit 10+ 7000(kodi ya jengo ambapo sikua na umeme) kisha pesa itakayobaki ndio umeme ntakaopewa.
Maelezo haya nimepewa na fundi aliyekuja kuniungia umeme.
Kwasababu sina mbadala nimelazimika kuitikia NDIYO na kutoa neno ASANTE tu ila hii kodi ya jengo kulipia miezi ya nyuma naona kama ni ka wizi flani hivi.
Mpira kwenu Tanesco tunyoosheni tu
Hawa jamaa ni vichomi balaa