Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu,Msaada kupata control no kulipia maunganisho ya umeme toka october 2021
Jina: Khalima Ramadhani Mwachirua
Eneo:Nyasa shuleni
Wilaya:Masasi
No ya simu 0682985792/0625842303
Tatizo:kupata control no ya kulipia maunganisho ya umeme,
Tokalini:last update from office past two weeks,kunahitajika surveyer kufika kuchukua coordinates site form ya tangu mwezi wa 10 jamani,site yenyewe ipo juu ya kwa maeneo ya kwa mkapa tu Hapa Hapa mjini
Nimeumia sana as if ndio nimefanyiwa mimi daah pole sana mkuuTANESCO inasikitisha sana kuwa mnachukulia kwa wepesi sana kero za wateja.
Mimi ni mkazi wa Ukonga Moshi Bar. Mnamo tarehe 14 kuamkia tarehe 15 mwezi huu, kulitokea hitilafu ya umeme kupelekea kukatika umeme eneo lote. Ila baada ya kurudi umeme, kwangu pekee kulikuwa hakuna umeme.
Ikanilazimu kwenda Ukonga Madafu ofisi za Tanesco, hapakuwa na mtu isipokuwa mlinzi alienipa namba ya Emergency. Nilipopiga niliongea na mtu anaitwa Zuhura, alinipatia Reference Number 3626 na kunambia mafundi watakuja. Ni kweli mafundi wa 3 walikuja na kusema mita yangu yenye namba 24218573269 imeungua hivyo itabidi kubadilishwa. Ikae kwenye rekodi kuwa mita hii ni ya pili kuungua.
Mafundi walinambia wanapeleka ripoti ofisini na itakuja kubadilishwa. Baada ya kuona kimya, nikapiga tena Emergency number na kuzungumza tena na Zuhura, akanambia tatizo langu linashughulikiwa. Izingatiwe hapo pote mpaka muda huu sina umeme, naishi kwenye giza.
Nikajaribu tena kupiga Emergency number na safari hii muhudumu akaniambia nitapigiwa na mtu kutoka makao makuu. Na kweli nikapata simu kutoka kwa mtu anaitwa Lucas Mwala, lakini kwa mujibu wa Bw. Mwala ni kuwa ripoti waliyokuwa nayo ni kuwa tatizo langu limekwisha hivyo nifuatilie upya kwa mafundi.
Sasa TANESCO hamuoni mnaofanya ni huduma mbovu? Ninaishi bila ya umeme kwa takriban siku 6 sasa na hakuna jibu la maana ninalopata. Je tunapaswa tufuatilie wapi ili matatizo yetu yatatuliwe? Ikiwa ni kweli mafundi wenu wanatoa ripoti batili, je tunapswa kuwa na imani nao wakija kuangalia matatizo?
Kama kuna muhusika hapa tafadhali naombeni msaada maana sasa imeshakuwa adhabu.
Ahsante
0784 366 654
0784 416 504
Wanataka rushwa mkuu Hio ni kawaida ya tanesco sisi tuliambiwa nyaya zimeisha tusibiri wiki tatu tulivyotoa rushwa tukawekewa umeme kesho yake Tena jumamosiMmh, mi najua elfu 27 tu
nashukuru ndugu yangu. Hawa jamaa wamekuwa wanyanyasaji sana katika huduma zao. Ingeeleweka tungekuwa vijijini lakini mjini napo tunafanywa kama vile tupo mbali sana kuweza kusaidiwa.Nimeumia sana as if ndio nimefanyiwa mimi daah pole sana mkuu
Yaani Tanesco huduma zao ni kama wanatufanyia msaada yaani as if umeme hatulipii inasikitisha sana.
Hivi kwanini wasiruhusu private company kwa ajili ya umeme maana ni kero nyingi zimekua watu kila siku wanalalamika daah
Tumelipokea kwa uchunguzi na hatua zaidi tafadhaliNimeumia sana as if ndio nimefanyiwa mimi daah pole sana mkuu
Yaani Tanesco huduma zao ni kama wanatufanyia msaada yaani as if umeme hatulipii inasikitisha sana.
Hivi kwanini wasiruhusu private company kwa ajili ya umeme maana ni kero nyingi zimekua watu kila siku wanalalamika daah
Kwahiyo ukitoa rushwa ni chapchap?Wanataka rushwa mkuu Hio ni kawaida ya tanesco sisi tuliambiwa nyaya zimeisha tusibiri wiki tatu tulivyotoa rushwa tukawekewa umeme kesho yake Tena jumamosi
Chapchap Sana yaani sisi tulitumia wiki tatu tu mpaka umeme kuwaka.surveyor kuja site rushwa, kwenda kujaza form rushwa,nguzo rushwa kwa kifupi process zote zile mpaka umeme uwake zilitoka hela, kwakweli sijui kwa taasisi zingine lakini tanesco wapo vizuri kwenye rushwa loh.Kwahiyo ukitoa rushwa ni chapchap?
Ndugu mpendwa Mteja wetuChapchap Sana yaani sisi tulitumia wiki tatu tu mpaka umeme kuwaka.surveyor kuja site rushwa, kwenda kujaza form rushwa,nguzo rushwa kwa kifupi process zote zile mpaka umeme uwake zilitoka hela, kwakweli sijui kwa taasisi zingine lakini tanesco wapo vizuri kwenye rushwa loh.
Taarifa imepokelewa kwa hatua zaidiNdugu,
Any update so far ,kwavile mkobize kufikisha taarifa zetu tunazofikisha kupitia jukwaa letu hili pendwa wacha tuwasaidie pia kuwakumbusha kufuatilia mrejesho wa haya tunayoyaleta,taarifa zikiwa za pande zote 2 huonyesha commitment hasa.
pole sana ndugu. ila kwa jamaa walivyo na dharau wala usitarajie msaada wowote. Majibu yao huwa yanaishia hapa hapa kujifanya wanashughulikia. Baada ya hapo kimya.TANESCO inasikitisha sana kuwa mnachukulia kwa wepesi sana kero za wateja.
Mimi ni mkazi wa Ukonga Moshi Bar. Mnamo tarehe 14 kuamkia tarehe 15 mwezi huu, kulitokea hitilafu ya umeme kupelekea kukatika umeme eneo lote. Ila baada ya kurudi umeme, kwangu pekee kulikuwa hakuna umeme.
Ikanilazimu kwenda Ukonga Madafu ofisi za Tanesco, hapakuwa na mtu isipokuwa mlinzi alienipa namba ya Emergency. Nilipopiga niliongea na mtu anaitwa Zuhura, alinipatia Reference Number 3626 na kunambia mafundi watakuja. Ni kweli mafundi wa 3 walikuja na kusema mita yangu yenye namba 24218573269 imeungua hivyo itabidi kubadilishwa. Ikae kwenye rekodi kuwa mita hii ni ya pili kuungua.
Mafundi walinambia wanapeleka ripoti ofisini na itakuja kubadilishwa. Baada ya kuona kimya, nikapiga tena Emergency number na kuzungumza tena na Zuhura, akanambia tatizo langu linashughulikiwa. Izingatiwe hapo pote mpaka muda huu sina umeme, naishi kwenye giza.
Nikajaribu tena kupiga Emergency number na safari hii muhudumu akaniambia nitapigiwa na mtu kutoka makao makuu. Na kweli nikapata simu kutoka kwa mtu anaitwa Lucas Mwala, lakini kwa mujibu wa Bw. Mwala ni kuwa ripoti waliyokuwa nayo ni kuwa tatizo langu limekwisha hivyo nifuatilie upya kwa mafundi.
Sasa TANESCO hamuoni mnaofanya ni huduma mbovu? Ninaishi bila ya umeme kwa takriban siku 6 sasa na hakuna jibu la maana ninalopata. Je tunapaswa tufuatilie wapi ili matatizo yetu yatatuliwe? Ikiwa ni kweli mafundi wenu wanatoa ripoti batili, je tunapswa kuwa na imani nao wakija kuangalia matatizo?
Kama kuna muhusika hapa tafadhali naombeni msaada maana sasa imeshakuwa adhabu.
Ahsante
0784 366 654
0784 416 504
Tumeshawasiliana na mteja wetu na atapatiwa hudumapole sana ndugu. ila kwa jamaa walivyo na dharau wala usitarajie msaada wowote. Majibu yao huwa yanaishia hapa hapa kujifanya wanashughulikia. Baada ya hapo kimya.
Hili shirika ni la ovyo mno. Ukitaka kujua ukiritimba wao aharibikiwe kiongozi au tajiri, dakika tano nyingi washarekebisha
Ndugu mpendwa Mteja wetuKwanini umeme umekata tokea asubuhi mpaka sasa.eneo nyakahura, Biharamulo,kagera
Ndugu TANESCO msitake kuniambia kwamba hizo taarifa za awali nilizo zitoa hamjazielewa!!!!! ??Ndugu mpendwa Mteja wetu
Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Namba ya taarifa
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
SIMU : 0748550000
Kata: nyakahuraTaarifa kamili ndio msingu wa huduma bora, tafadhali toa ushirikiano
Jumla ilikutoka shingapiChapchap Sana yaani sisi tulitumia wiki tatu tu mpaka umeme kuwaka.surveyor kuja site rushwa, kwenda kujaza form rushwa,nguzo rushwa kwa kifupi process zote zile mpaka umeme uwake zilitoka hela, kwakweli sijui kwa taasisi zingine lakini tanesco wapo vizuri kwenye rushwa loh.