Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuanze na UMEME ! Au ??!!Kama yepi?
Bado kidogo !!Wewe VP umeanza kumbuka?
Ndugu mpendwa Mteja wetuMmezingua TANESCO kwa nini mnakata umeme asubuhi yote hii mnajua leo sijaenda shule nilikuwa nataka niangalie katuni boomerang tv za asubuhi ndio nzuri
Leo la nne wengi hatujaenda shule ni siku ya usafi watafanya madogo
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Niliomba control number tokea Jumanne bado tu sijaipataNdugu mpendwa Mteja wetu
Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Namba ya taarifa
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
SIMU : 0748550000
TayariWeka taarifa kamili tafadhali hata Pm kwa hatua zaidi
515, 618/=naomba kuuliza bei mpya ukitaka nguzo moja ni sh ngapi??
ohoo asante515, 618/=
Karibuohoo asante
Kwamba kabla yake nchi ilikuwa haina umeme?Tuanze na UMEME ! Au ??!!
Nadhani alipokuwepo umeme ulikuwa haukatiki katiki kila mara ! Tuseme kweli tu !Kwamba kabla yake nchi ilikuwa haina umeme?
Hata sasa haukatiki mara kwa mara,watu tumekuwa wanafiki na chuki zisizo na sababu umeme ukikatika kidogo tu inakuwa nongwa lakini ukweli hata wakati wa huyo mnayemuona mungu mtu hitilafu za hapa na pale zilikuwepo.Nadhani alipokuwepo umeme ulikuwa haukatiki katiki kila mara ! Tuseme kweli tu !
Toka niripoti tatizo hili sijapata msaada, siku ya 5 leo sina umeme, nishawapigia simu nishafika ofisini majibu mepesi tu, DM mnanipa majibu mepesi tu, nyie jamaa bhana TANESCOHabari TANESCO, nimepata tatizo luku iliisha nimeenda kununua narudi kujaza umeme namba za kuandikia kwenye mita hazifanyi kazi, nimewasiliana na nyie kwa namba hii 0748550000 nikapewa usaidizi na kweli mafundi wamefika mpaka nyumbani na wamesema mita inatakiwa kubadilishwa, lakini sijapewa maelekezo ya maana natakiwa kufanya nini niende wapi n.k kwani nashindwa kujaza umeme na token ninayo ni zile mita za ukutani, nilikuwa naomba naweza kuwapa mita namba na token mkaniwekea umeme kwani mpaka sasa ni giza na nashindwa cha kufanya, kwa wakati huu nasubiri huduma nipate umeme? na pia taratibu za kufuata napaswa nianzie wapi na kipi nifanye?