TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Sasa kitengo Cha mawasiliano ya umma wamekivunja nani atatupatia hiyo ratiba 🤷🤷 shirika linaongozwa kisiasa
 
Si wamalizie tu ule MRADI kwani? wanatatizwa na nini? BWAWA
 
TANESCO mbona mpaka sasa hamjatoa ratiba ya mgao wa umeme ingali mlitangaza mgao kuanza tarehe 1 February?

Tunaomba kujua mgao utakuwa maeneo gani na saa ngapi utaanza na kuisha? Nauliza hivi sababu mlitoa maelezo kwamba sio kila sehemu itahusika na huu mgao itategemea sehemu ambazo mmepanga kufanya marekebisho kwa hiyo ni vema mtaje maeneo yatakayoathirika na huo mgao unaotokana na maeneo mnayofanya marekebisho ili tujipange mapema kwa hizo siku zote.

Tafadhali tufahamisheni hayo maeneo na muda wa kuanza mgao na muda ambao mtakuwa mnarusisha umeme ifikapo jioni kwa hizo siku mlizopanga kufanya marekebisho.

Asanteni.
 
NB: msukuma yoyote atawatafsiria heading.

Tanesco wanaua uchumi wetu wananchi tunaotegemea umeme huku nzega,haiwezekeni umeme unakatwa saa mbili asubuhi then wanarudisha saa tisa ucku.

Ok watu tunakurupuka hiyo ucku tunasema ngoja tukimbize viporo ili hata kama saa mbili watakata tena tuwe tumepata hata hela ya kula,cha ajabu saa kumi na mbili wanakata tena..,hawa wangese wanataka si tuolewe huku bush?! au. Fuckeen tanesco nmewamind kinyama.

Shindo jing'we gete bhatanesco bhose mpaka na waziri wing'hwe.
 
Kuna kinabo mmoja atakuambia kama kazi yako ni serious hivyo ununue jenereta. Akitokea huyo kinabo tafadhali mtukane kwa kiswahili ili nielewe
 
Jana ilikuwa weekend naona hawajibu itakuwa bado wako vitu 🤭😂😂
 
Jana ilikuwa weekend naona hawajibu itakuwa bado wako vitu [emoji2960][emoji23][emoji23]
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja

SIMU : 0748550000
 
Maintanamce mim kama mteja na pia corporation kama hyo ambayo imepewa jukum kubwa la ki nchi na hata kupelekea private sector kunyimwa miradi hii ili kulinda maslah ya taifa

Maintanance na mim kukosa huduma hainihusu kabisa

NATAKA UMEME...

Sielew whats happening...
 
Back
Top Bottom