Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dumila n kijijin ndio maana wanatukatia katia umeme inabidi tuzoee tuLeo umeme Dumila upo Ila Hali ya kukatika kila wakati inakera saana yaani haipiti lisaa umeme umekatika Na hata hapa ninavyoandika umeme mshakata TANESCO rudisheni umeme Dumila
Naona hata ukiongea hawajali inaonekana kama unawapigia kelele tu.Ni Kweli kaka Ila tutazoeaje Na Makamba katukuta tunapata umeme vizuri hata kama ni kijijini wanatuona Ila Mimi sitachoka Kula nao sahani moja
Pole sana brotherHii mijamaa imekata umeme Na ilipochoka ikaamua irudishe asubuhi hii Na kutufanya tulale Giza Hapa Dumila .
Halafu wanashindwa kuelewa kuwa ninaposema Dumila Hakuna umeme unakuta Na Magole hakuna Hadi Mvomero Hakuna sababu ili umeme uwepo Dumila inabidi kote huko kuwe Na umeme Ila ilivyo mipumbavu eti inakwambia Dumila Ni kubwa taja Eneo
Yaani wanaongea kama wamevimbiwa makande
Mkuu TANESCO naomba/nasubili ufafanuzi wenu hoja hii, ni muda sasaMkuu, pamoja na majibu mazuri ambayo naamini Watanzania wengi (wateja watarajiwa ) watanufaika nayo. Mimi nipo kwenye jibu la ANGALIZLO: MIMI nipo kijijini, Kati ya mwezi wa 7 na 8, 2019 nimefanyiwa taratibu zote za kupatiwa umeme hadi kuwepo kwenye komputa na kunitaka nikalipie: Tatizo linaanzia hapo, sipewi control no.; naambiwa nguzo za REA hamna kwa maana ya malipo hayo ya 27000/, aidha wananitaka niandike barua ya kulipia zaidi ya 600,000/- kwa nguzo 2 za TANESCO kama nina haraka, hivi kutoka 2019 hadi leo 2022 ni muda mdogo? Naombeni mwongozo wenu.
Hahaaaa wamekata tayari kazi tunayo leo hahahahaTANESCO rudisheni umeme Dumila
Na kama kila wakikata tungekuwa tunalalamika ingekuwa Ni kila dk tunaandika Ila wanakata Na tunasema tusubiri labda watarejesha Ila unaona Muda unaenda Tu hvyo Kwa kuwa tunayoyasema hawayatendei Kazi Ila tunawapa Taarifa kama update Tu