Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba kuuliza baada ya kulipia Tsh 27,000 inachukua muda gani hadi kuhudumiwaNdio kwa kasi kubwa kabisa, je weww umelipia lini? Namba ya simu tafadhali
TANESCO NAOMBA KUPATA MUONGOZO WA GAHARAMA ZA KUKATIWA MITI ILIYOPO KARIBU KABISA NA NYAYA ZA UMEME.
SABABU NI KWAMBA TUMEWAOMBA MJE MTUKATIE MITI TUNAAMBIWA TUTOE GARAMA ZA MAFUTA ILI VIJANA WAJE KUKATA MITI. NAOMBA MUONGOZO
Sisi huku Mbezi ya Kimara,DSM eneo la Mshikamano tunaohudumiwa na ofisi ya Kibamba hatuna umeme toka juzi Jumatano usiku baada ya nyaya kuangukiwa na mti. Tulitoa taarifa na kuelezwa kuwa taarifa hiyo ni namba 5819.TANESCO NAOMBA KUPATA MUONGOZO WA GAHARAMA ZA KUKATIWA MITI ILIYOPO KARIBU KABISA NA NYAYA ZA UMEME.
SABABU NI KWAMBA TUMEWAOMBA MJE MTUKATIE MITI TUNAAMBIWA TUTOE GARAMA ZA MAFUTA ILI VIJANA WAJE KUKATA MITI. NAOMBA MUONGOZO
NDUGU SHIRIKA LETU PENDWA LA UGAVI WA UMEME TANESCO, OFISI ZENU ZA MWANZA UFISADI NA RUSHWA DHIDI YA KUPATIWA HUDUMA ZA KUUNGANISHIWA UMEME ZIMERUDI TENA. HUKU NI KUANGUSHA JITIHADA ZA RAISI WETU WA AWAMU YA SITA, MLIOMBA TOZO YA ELF 27 IONDOLEWE MAMA AKAWASIKIA, NA WANANCHI TUMEKUBALI KULIPA GHARAMA ZILE ZA ZAMANI KUANZIA LAKI 3 MPAKA MILLION 1 KWA HUDUMA, LAKINI INSHANGAZA BADO HAMTUPATII HUDUMA KWA WAKATI NA KWA KIWANGO KILE CHA THAMANI YA PESA TILIZOLIPIA KISINGIZIO NI MITA HAKUNA, SWALI INAWEZEKANAJE NILIPIE PESA ALAFU VIFAA VISIWEPO INAMAANA PESA ZETU MNAKULA NA HAMZINUNULII VIFAA?, MBAYA ZAID MMEKUWA HURU KUTUOMBA RUSHWA WAZI WAZI , KWA KISINGIZIO CHA KWAMBA MAHITAJI NI MENGI BIDHA NI CHACHE KWA HILI HALIKUBALIKI NA HALIVUMILIKI KAMWE. MKURUGENZI MKUI TANESCO NAOMBA JITASMINI.Ndugu Mteja
Tunashukuru kwa taarifa, Tumezipokea kwa ufatiliaji na hatua zaidi.
TANESCO Huduma kwa Wateja
Makao Makuu
0748550000
Mkono mtupu haulambwiTANESCO leo si ndo deadline ya kuwaunganishia umeme wateja waliolipia 27k .....na.mpaka dakika hii hapa kwangu sijaona Yanesco kuja kuniwekea Umeme sijui hawa Tanesco Kibaha wana deadline yao wamejiwekea ?
Eh balaaa zitoooMkono mtupu haulambwi
Iyo post ya juu ya MUBIKU mbona hujibu?Tafadhali onesha namba ya simu kwa hatua zaidi
Ndugu mpendwa Mteja wetuNDUGU SHIRIKA LETU PENDWA LA UGAVI WA UMEME TANESCO, OFISI ZENU ZA MWANZA UFISADI NA RUSHWA DHIDI YA KUPATIWA HUDUMA ZA KUUNGANISHIWA UMEME ZIMERUDI TENA. HUKU NI KUANGUSHA JITIHADA ZA RAISI WETU WA AWAMU YA SITA, MLIOMBA TOZO YA ELF 27 IONDOLEWE MAMA AKAWASIKIA, NA WANANCHI TUMEKUBALI KULIPA GHARAMA ZILE ZA ZAMANI KUANZIA LAKI 3 MPAKA MILLION 1 KWA HUDUMA, LAKINI INSHANGAZA BADO HAMTUPATII HUDUMA KWA WAKATI NA KWA KIWANGO KILE CHA THAMANI YA PESA TILIZOLIPIA KISINGIZIO NI MITA HAKUNA, SWALI INAWEZEKANAJE NILIPIE PESA ALAFU VIFAA VISIWEPO INAMAANA PESA ZETU MNAKULA NA HAMZINUNULII VIFAA?, MBAYA ZAID MMEKUWA HURU KUTUOMBA RUSHWA WAZI WAZI , KWA KISINGIZIO CHA KWAMBA MAHITAJI NI MENGI BIDHA NI CHACHE KWA HILI HALIKUBALIKI NA HALIVUMILIKI KAMWE. MKURUGENZI MKUI TANESCO NAOMBA JITASMINI.
cc.Wazir wa Nishati na umeme (January Makamba)
Wanasema Mita zimechelewa kwasababu ya Vita kati ya RUSSIA/UKRAINE.NDUGU SHIRIKA LETU PENDWA LA UGAVI WA UMEME TANESCO, OFISI ZENU ZA MWANZA UFISADI NA RUSHWA DHIDI YA KUPATIWA HUDUMA ZA KUUNGANISHIWA UMEME ZIMERUDI TENA. HUKU NI KUANGUSHA JITIHADA ZA RAISI WETU WA AWAMU YA SITA, MLIOMBA TOZO YA ELF 27 IONDOLEWE MAMA AKAWASIKIA, NA WANANCHI TUMEKUBALI KULIPA GHARAMA ZILE ZA ZAMANI KUANZIA LAKI 3 MPAKA MILLION 1 KWA HUDUMA, LAKINI INSHANGAZA BADO HAMTUPATII HUDUMA KWA WAKATI NA KWA KIWANGO KILE CHA THAMANI YA PESA TILIZOLIPIA KISINGIZIO NI MITA HAKUNA, SWALI INAWEZEKANAJE NILIPIE PESA ALAFU VIFAA VISIWEPO INAMAANA PESA ZETU MNAKULA NA HAMZINUNULII VIFAA?, MBAYA ZAID MMEKUWA HURU KUTUOMBA RUSHWA WAZI WAZI , KWA KISINGIZIO CHA KWAMBA MAHITAJI NI MENGI BIDHA NI CHACHE KWA HILI HALIKUBALIKI NA HALIVUMILIKI KAMWE. MKURUGENZI MKUI TANESCO NAOMBA JITASMINI.
cc.Wazir wa Nishati na umeme (January Makamba)
Pamoja na madhira tuliyoyapata hatimae na angalau leo Jumamosi adhuhuri mafundi wa kitengo cha maintenance wameweza kutatua tatizo letu.Sisi huku Mbezi ya Kimara,DSM eneo la Mshikamano tunaohudumiwa na ofisi ya Kibamba hatuna umeme toka juzi Jumatano usiku baada ya nyaya kuangukiwa na mti. Tulitoa taarifa na kuelezwa kuwa taarifa hiyo ni namba 5819 . Jana wamekuja mafundi wa emergency wakatuelekeza tukate matawi ya miti watakapopititisha nyaya nasi tukatekeleza mara moja. Lakini hadi sasa hatujarudishiwa huduma hii muhimu licha ya mafundi wa kitengo cha emergency na wale wa kitengo cha maintenance kufika eneo la tukia kama mara tatu na kushuhudia hali halisi ya madhira yetu. Tunawashukuru wanaopokea malalamiko ( c c) kwa kutoa majibu ya staha, lakini utekelezaji wake ni tatizo.
@TANESCO NYAKATO ni mabingwa wa kuomba rushwa ,yani kuunganisha umeme imekua kama hisani wakati ni haki yetu na tumelipia, Mimi unaingia mwezi wa 6 sasa sijaunganishiwa umeme tangu nilipie mwaka Jana mwezi wa 10,kuna boya wa hapo Nyakato anaomba rushwa ya laki 2 Ili nipatiwe huduma wakati nilishalipa 27 elfu. Poor TanescoNDUGU SHIRIKA LETU PENDWA LA UGAVI WA UMEME TANESCO, OFISI ZENU ZA MWANZA UFISADI NA RUSHWA DHIDI YA KUPATIWA HUDUMA ZA KUUNGANISHIWA UMEME ZIMERUDI TENA. HUKU NI KUANGUSHA JITIHADA ZA RAISI WETU WA AWAMU YA SITA, MLIOMBA TOZO YA ELF 27 IONDOLEWE MAMA AKAWASIKIA, NA WANANCHI TUMEKUBALI KULIPA GHARAMA ZILE ZA ZAMANI KUANZIA LAKI 3 MPAKA MILLION 1 KWA HUDUMA, LAKINI INSHANGAZA BADO HAMTUPATII HUDUMA KWA WAKATI NA KWA KIWANGO KILE CHA THAMANI YA PESA TILIZOLIPIA KISINGIZIO NI MITA HAKUNA, SWALI INAWEZEKANAJE NILIPIE PESA ALAFU VIFAA VISIWEPO INAMAANA PESA ZETU MNAKULA NA HAMZINUNULII VIFAA?, MBAYA ZAID MMEKUWA HURU KUTUOMBA RUSHWA WAZI WAZI , KWA KISINGIZIO CHA KWAMBA MAHITAJI NI MENGI BIDHA NI CHACHE KWA HILI HALIKUBALIKI NA HALIVUMILIKI KAMWE. MKURUGENZI MKUI TANESCO NAOMBA JITASMINI.
cc.Wazir wa Nishati na umeme (January Makamba)