Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,231
- 22,494
Nashangaa mimi nipo zangu Chanika🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashangaa mimi nipo zangu Chanika🤣🤣🤣
kinyerezi umeme wa kumwagaTabata nzima tupo kiza totoroo. Nilikuwa natengeneza wali kwenye rice cooker zoezi limeingia mdudu. Hapa nahangaika na kitu cha gesi hadi uive.
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jack Palladino kumbe unauza miwa UK af unatuchora tu hapa
Staff wa Tanesco naishi chanika mkuu!
Chanika mwisho mkuuChanika ipi ya uk pale mataa au ya gongolambo
Hiyo 'muda huu' ina maana sana. Kwa nini muda ule ukose umeme bila taarifa? Kutwa nzima hakuna umeme, "because of why?" Shida ilikuwa maji sasa mvua zinanyesha, kama shida Kalemani hakukarabati, mama keshakupa trioni 4 ufanye ukarabati, bado umeme umekuwa wa mazingaombwe, mpaka uimbiwe ndo uwake.
Kweli bana, hizo taa hua naziona kwenye movie za mamtoni huko[emoji23][emoji23][emoji23] ndio iko chumba kibongo bongo hakuna uyo ni muuza miwa alie develop
🤣🤣 Chanika huko kama ulayaNashangaa mimi nipo zangu Chanika🤣🤣🤣
Mkuu umekaza kabisa😅[emoji23][emoji23][emoji23] ndio iko chumba kibongo bongo hakuna uyo ni muuza miwa alie develop
Taa zinamchanganya 😅🤣🤣 Chanika huko kama ulaya
Kweli bana, hizo taa hua naziona kwenye movie za mamtoni huko
Mkuu umekaza kabisa[emoji28]
Hizo taa sio za bongo, tumekushtukiaTaa zinamchanganya 😅
Ule na cha usiku kabisaNimeweka uku na chat af nipo huku ugenini nataka kuondoka soon ila itabidi nivute mda
Budapest ya Kanda ya NyonyoBudapest hapa sijawahi ona umeme ukikatika.