Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ule na cha usiku kabisa
Muwe mnatembea msizubae tu hapo darNi wapi huko mkuu?
Taa za mchina zipo k.koo🤣Hizo taa sio za bongo, tumekushtukia
Sh ngapi na me nikanunue nipendezeshe chumbaTaa za mchina zipo k.koo🤣
Nilikuwa eneo hili giza kabisaMbezi kwa Musuguli hakuna umeme
Kuna line ya jeshi huko huwa haiguswiNipo kimara upo
USSR
Upo UnawakaIkulu hamna umeme
🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂🤣🤣Usikute tanesco wameishiwa Luku
Sh ngapi na me nikanunue nipendezeshe chumba
Jack Palladino naomba na mimi taa kama hiyo.Mwambie akiwa anakuja mbagala akununulie kama zawadi kama anakupenda kweli [emoji23][emoji23][emoji23]
Jack Palladino naomba na mimi taa kama hiyo.
Muhimu hiloAkikupa niite nipige nayo self
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Usikute tanesco wameishiwa Luku