pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Naona miaka karibia 6 biashara ya majenereta ilidodoraNatumaini humu ndani kuna wajuvi wa mambo mengi sana.
Naombeni mnisaidie ni kwa namna gani naweza nunua umeme wa LUKU nje ya mfumo....
Huu uni ga unao endelea Tanesco. MAGUFULI angekuwepo saahizi kunamtu kibarua kimeota nyasi. Na umeme ulisha rudi kawaida siku nyingi.Huyu dingi aliyepita, mtakuja kumkumbuka bigtime.....
VumiliaAirtel wamekata hela umeme hawajaleta.[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Hakuna cent hata moja ya wizi kwa mteja, ni wizi wa hela za umma kuwalipa mafundi wanaokorofisha program ili walipwe kuzirudisha zilivyo kuwa.Nimehangaika leo siku nzima kununua Umeme, hadi naandika hapa saa nne na dk 22 usiku hakuna huduma ya LUKU, tunajua mnachokifanya, mpo mnavuruga system ili mtuibie kirahisi! Hakika tutamkumbuka JPM maana kesho mtu alikuwa anachomolewa ofisini kwenye kitu chake cha kuzunguka!
Hii nchi ina wenyewe babaaKwa hiyo ni mwendo wa kuliwa tu...basi sawa, wacha tunyolewe na topaz yenye kutu.
Karibu mkuu upande wa uwajibikajiKwanza nianze kwa kukiri kwamba mimi ni sio mwanasiasa ila kwa kipindi fulani nilikuwa shabiki mkubwa wa chadema.Kiukweli miongoni mwa wale waliokuwa wakimponda sana na hata kutokuhuzunishwa na kwenda kwa mwendazake na mimi nilikuwemo.Ninakiri wazi kuwa nilifanya makosa makubwa sana na sikujua kuwa nilikuwa nakataa almasi kwa kukusanya kokoto...
Tutaandaa utaratibu mzuri wa kuzifanyia kazi mkuu wetu.JmKwa tulionunua Umeme siku ya jtatu fedha zipo kwenu zinarudije maana hata mitandao kama Airtel hawapokei simu za wateja tunafanyaje?
Same here.Airtel wamekata hela umeme hawajaleta.[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
yaani mpo JF MNACHATI KABISA.Tutaandaa utaratibu mzuri wa kuzifanyia kazi mkuu wetu.Jm
Kamfate makaburiniNimehangaika leo siku nzima kununua Umeme, hadi naandika hapa saa nne na dk 22 usiku hakuna huduma ya LUKU, tunajua mnachokifanya, mpo mnavuruga system ili mtuibie kirahisi! Hakika tutamkumbuka JPM maana kesho mtu alikuwa anachomolewa ofisini kwenye kitu chake cha kuzunguka!
Ndio wengine wanasema mnaandaa mfumo wa kupiga..?Tutaandaa utaratibu mzuri wa kuzifanyia kazi mkuu wetu.Jm
Mkuu una kumbukumbu!Huko kuna mikono ya wakubwa