TANESCO wapata hitilafu katika mfumo wa kununua umeme wa LUKU
Hakika nashindwa kuamini kuwa leo karibu SIKU ya 3 Huduma ya LUKU na CONTROL NUMBER ni Tatizo na Ukiuliza Jibu ni Jepesi "MTANDAO UPO CHINI"
Mh.RAIS SAMIA hebu Angalia Kuna Nini kinaendelea TANESCO na TRA haiwezekeni MAPATO ya SERIKALI yashindwe KUKUSANYWA kwa MTANDAO kuwa CHINI.
 
Luku Luku Luku mpaka leo ni cku ya pili hatujaweza kununua kwa wakala wala kwa cmu
 
Hakika nashindwa kuamini kuwa leo karibu SIKU ya 3 Huduma ya LUKU na CONTROL NUMBER ni Tatizo na Ukiuliza Jibu ni Jepesi "MTANDAO UPO CHINI"
Mh.RAIS SAMIA hebu Angalia Kuna Nini kinaendelea TANESCO na TRA haiwezekeni MAPATO ya SERIKALI yashindwe KUKUSANYWA kwa MTANDAO kuwa CHINI.
HUJUMA.. na UPIGAJI
 
E0NhMwdXIAAW0HL (1).jpeg
 
Mkuu nasoma computer science....katika programming hakuna hitirafu ,na hata virus ni program ya computer inayofanya kazi kwa kuipa ubize computa au kupiga copy au kudelete files muhimu na ni mtu anaeza tengeneza virusi, hebu nirud kwenye point, program ikiandikwa haibadiliki, ni pure number ile, I mean automation is perfect, Kama ilivo 1*1=1 it can't change...
YAANI bro...umesema kilicho kweli kabisa...hapa kuna pesa inapigwa...tena ndefuuuuu mno, angalia hili ni tatizo la nchi nzima....why....in 3 days ahead ikiendelea....nchi theluthi moja itakuwa gizani....till j2 ndio balaa......hii sio sahihi kabisa...lazima kuwe na opion B.
 
Hakika nashindwa kuamini kuwa leo karibu SIKU ya 3 Huduma ya LUKU na CONTROL NUMBER ni Tatizo na Ukiuliza Jibu ni Jepesi "MTANDAO UPO CHINI"
Mh.RAIS SAMIA hebu Angalia Kuna Nini kinaendelea TANESCO na TRA haiwezekeni MAPATO ya SERIKALI yashindwe KUKUSANYWA kwa MTANDAO kuwa CHINI.
Jibu ni rahisi

Hujuma

Dawa ni ndogo, Ondoa wakurugenzi wote weka wapya, waliopo ni masalia
 
Tanesco vipi mbona bado wanauzia wateja nguzo wakati nguzo ni mali ya Tanesco? Kwanini wasiunganishe wateja kwa bure au kwa mkopo ? Kwani mobisol solar wao unaotoa pesa kidogo na unakuwa unalipa kidogo mpaka umee unakuwa wako free.

Kwanini tanesco mteja auziwe nguzo wakati mteja akiunganishwa analipa Bill milele mpaka watukuu?,mfano Botswana unaponunua kiwanja unakuta watu wa umeme na maji tayari walishapeka kaxi ni niuunganisha tu maji na umeme kwa bei nafuu.
 
????????????????
????????????????
???????????????

Ova
 
Hapa kuna hujuma ndani ya shirika,hili sio geni kabisa ni basi tu Kaleman nae mchunga ming'ombe
 
Hii itakua hujuma aisee , maana haijawahi tokea huduma hii muhimu kuwa down siku tatu,
Kwa hili bila Shaka kuna watu wanatakiwa kuwajibishwa aisee
Yaani hapa ni balaa,samaki wanaoza kwenyr friji,kisa Luku haipatikani,aah jamani!
 
yaani nchi nzima haina umeme ila mama anakenua kenu tu ikulu..
fukuza wajinga wote mamluki wa Meko.wanafanya makusudi...yaani humu mama watamzamisha kwenye tope ngoja aendelee kuwachekea tu
Si mlikuwa mnampondea mwendazake et aliwasababishia matatizo, hayo ni manyunyu subirieni mvua iwanyeshee.
 
Niliagiza samaki kutoka mwanza karibu ndoo nzima siwezi kukubali waharibike kwa uzembe wao!

Haiwezekan kila siku ile kwetu tu, siku moja moja kama hivi wacha ile kwao!
Nimeamua kuunga direct hadi pale mtandao wa LUKU utakaporudi kama mbwai na iwe mbwai! TUTASOLVE!

Maoni yangu kitengo cha IT tanesco chote kingefukuzwa kazi Mara moja kama ambavyo Mameneja wengine wa miundombinu wanavyofukuzwa kazi!

Haiwezekani wasiwe na plan B kwa mfano!
Unaposhindwa kununua umeme kwa mtandao wangekuwa na Universal Tokeni ambazo zingeuzwa kama vocha!
Sure mkuu hawa mbwa wameng'ang'ania teknolojia za zamani wakati wangeweza kuomba msaada wa mafunzo hapo ubalozi wa India
 
Back
Top Bottom