Kwakweli...beberu wana kamsemo, blessing in disguise.Ni bora hata Tanesco ife kabisa lakini mwendazake aende zake tu na tusijepata wa hivyo tena
AsanteHaiwezekani mkuu leo nilienda kuulizia.
Ndiyo hilo genge limesoma udhaifu wakeMkuu sidhani kama mama ana udhaifu bali inaelekea kuna genge ambalo wanataka kumkwamisha. Probably genge hilo ni lilokuwa linafaidika awau iliyopita, hawakubali ukweli kuwa zama hizo zimeishapita.
Sawa BashiteTulia wewe!
Mataga, sukuma gang na marehemu wanakomolewa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii Kali aisee, hadi ofisi za Tanesco umeme hakunaHata wao huenda umekatika wanalalamika
Forget that day pipe dream.Treni ya umeme.hahahahah
Mkuu mbona huko mbali sanaHuko kite tumeenda hakuna huduma, naomba kama kuna mtu ana namba ya mh. Waziri mkuu anitumie!
Ila akiotewa na tanesco kuna wale wanazunguka na cruserNahisi hata yule kafanya hivyo,
Ila nahisi ni mtu wa kitengo huko selikalini maana anajiamini sana.
Kingine ili ufanikishe hili na uwe salama lazima nyumba yako iwe na fence na usiruhusu watu wasiohusika kuingia hovyo hovyo kwenye geti lako.
Ninahisi: Hawana mtaji wa kujiendesha. Mtaji wote umeshikiliwa kwenye bwawa la Nyerere. "They are insolvent".Tanesco inabidi wafahamu kuwa umeme ni kiungo muhimu sana katika uchumu na maisha ya raia wapofanya masihara na umeme nisawa na kufanya masihara na uhai wa wananchi.