ruralofficer
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,494
- 3,630
I like this idea a lot.Hivi hakuwezi kuwa na namna ya kuuza umeme kwa vocha kama vile makampuni ya simu za mkononi yanavyofanya?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I like this idea a lot.Hivi hakuwezi kuwa na namna ya kuuza umeme kwa vocha kama vile makampuni ya simu za mkononi yanavyofanya?.
Wakala wa aina gani, tuende tukanunue?nunua kwa nmb wakala nilinunua imekubal
Just like NSSFTanesco inaonekana kumejaa mabogus kule...
HamnaWakala wa aina gani, tuende tukanunue?
Watatoa wap sasaHivi nikienda ofisi ya tanesco iliyokaribu yangu hawawezi kweli kuniwekea umeme/kunipa token?
Haya mambo yasipotengamaa siku ya Leo na Kesho, hata mijini kutakuwa kizaHata wilayani makao makuu ya Tanesco hakuna huduma...usihangaike kwenda mkuu!
Si amtengue??Kila kitu itakuwa Samia na kazi ya Waziri wa nishati nini sasa?
Vipi kiongozi umeanza kumkumbuka Mwendazake.Umeme huku kijini Kimokela, hakipatikani tokea Jumapili, na sasa hakuna hata nyumba moja iliyo na umeme, kumekuwa kiza....
Kwa namna hii nitaachaje sasa mkuuVipi kiongozi umeanza kumkumbuka Mwendazake....
Nenda kwenye ofisi zao utapata umeme mkuuBank ipi wakati control number haifanyi kazi?