TANESCO wapata hitilafu katika mfumo wa kununua umeme wa LUKU
Majukumu ya kisasa wanaopewa ni mafala fala tu plus washamba.

Hizi ajira za kupewa kwa njia za vimemo haya ndio matokeo yake kudharau wateja.
 
Kongole ssh u ajua kuwaondoa watu kiakili hapa Doro na kalemani wamejikaanga
 
Kufuatia kuwepo tatizo la mfumo wa kununua luku, suluhu kwa siku hizi zenye matatizo ni ku achia umeme utumike na watu watakutana na bill zao mfumo ukitengema
Walivyo washenzi watawaibia mpaka mchanganyikiwe, ati wafanye postpaid
 
Wazo zuri Tena waweke mfumo overdraft mteja apewe mkopo kiwango walau 30% ya matumizi yake ,akiongeza malipo Ina offset.Mara nyingi tunakosa huduma na shirika kupata hasara.
 
Huo mfumo hauwezekani lazima upewe tokens, ili kufanikisha hilo wazo unaambiwa itahitajika miaka si chini ya mitano kufanya upembuzi yakinifu na miaka mingine mitano kufanya utekelezaji na katika kipindi cha utekelezaji inabidi tukate umeme nchi nzima, mpo tayari kwa hilo ndugu zangu ?🤣🤸🐒
 
Umeme nenda kwa mawakala wa tanesco unanunua vizuri tuu
 
Hili lililotokea huko Tanesco naona ni muendelezo wa siasa za nchi hii kwenye mambo ya msingi, nchi ya kijanja janja sana hii, "madili" yanaanza kurudi.
 
Halafu Utaskia eti nchi imepata maendeleo

Nafumua mtu ngumi
 
Back
Top Bottom