CORAL
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 2,813
- 1,827
Labda makao makuu Dar. Mbeya hata ofisi za TANESCO hakuna mtandao wa LUKU.Nenda kwenye ofisi zao utapata umeme mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda makao makuu Dar. Mbeya hata ofisi za TANESCO hakuna mtandao wa LUKU.Nenda kwenye ofisi zao utapata umeme mkuu
Labda kurahisisha ununuzi wa umeme. Lakini kama shida ya mtandao hata vocha inagoma kuingia.Hivi hakuwezi kuwa na namna ya kuuza umeme kwa vocha kama vile makampuni ya simu za mkononi yanavyofanya?.
Unaweza kuwa na hizo vocha madukani na system ikafail ikawa inagoma kuingiza vocha.Hivi hakuwezi kuwa na namna ya kuuza umeme kwa vocha kama vile makampuni ya simu za mkononi yanavyofanya?.
Nchi Hii ShidaMajuzi liripotiwa hapa JF mfumo wa TRA kuwa na dosari baada ya Uwepo wa moto HQ.
Jana na Leo TANESCO mfumo uko taabani.
Mifumo mingine muhimu pia imekuwa down wakati EGA wapo, Waziri Ndungulile, Katibu Mkuu wa Sayansi na Teknolojia yupo lkn hawana majibu yoyote kuhusu kadhia hii ya Mifumo ya TEHAMA
uliwahi kuacha kumsifia lini humu? kutwa kuchwa ni kupamba tu humu, shukuru mungu mama janet hakujui!Kwa namna hii nitaachaje sasa mkuu
Watu wananunua sasa hv kwenye ofisi za tanesco za wilaya au mkoa,, na pia kwenye baadhi ya mawakala wakubwaNchi hauwezi kuishi hivi. Lazima tujifunze....
Haya hii tu hivi ingekuwa lockdown je????
Lazima tufikirie nje ya mwanvuli
Hiyo akili wanayo sasa! Usikute hata athari zenyewe tu kwa watumiaji, kwa Shirika na Taifa kwa ujumla, hawazijui.Kufuatia kuwepo tatizo la mfumo wa kununua luku, suluhu kwa siku hizi zenye matatizo ni ku achia umeme utumike na watu watakutana na bill zao mfumo ukitengema