TANESCO wapata hitilafu katika mfumo wa kununua umeme wa LUKU
Mkuu sidhani kama mama ana udhaifu bali inaelekea kuna genge ambalo wanataka kumkwamisha. Probably genge hilo ni lilokuwa linafaidika awau iliyopita, hawakubali ukweli kuwa zama hizo zimeishapita.
Ndiyo hilo genge limesoma udhaifu wake
 
Siku ya tatu leo kuelekea ya nne Kalemani yupo tu ndio kwanza anazinduka kuanza kusimamisha watu kazi siku zote alikua wapi, watu tuko gizani siku ya nne sasa , kama ni subotage kwa mama Samia waseme, ingekua kipindi cha JIwe haya yangewezekana? naomba kuu;liza tu wakulungwa
 
Nakumbuka wakati flani nilipata chumba cha kupanga Manzese DSM, dalali aliyenipeleka akaniambia sifa ya hiyo nyumba ni kwamba maji mnanunua kwa jirani, kodi ni elfu 30 na umeme ni bure mnatumia mtakavyo ila kuna jamaa mtamchangia buku buku kwa kazi fulani nzuri.
Nikashangaa kwenye hiyo kuchangia buku nikasema ipoje hii ndio kufika kwenye nyumba nikalipia then nikatambulishwa kwa mpangaji mwenzangu ambaye anapewa hizo bukubuku. Huyu jamaa ndio fundi umeme wa nyumba, huwa anakwenda kwenye nguzo anapachika waya fulani hadi ndani baada ya hapo wewe ukiwa na friji twende, jiko la umeme washa yaani utawala wa manyani.

Leo nimekumbuka sana hiki kisa cha uhujumu uchumi.
 
Waziri Kalemani na mkurugenzi wa Tanesco wangestaafu tuweke wazalendo kazi ziendelee.
Nilinunua day old chicks jjuzi jumapili. Leo siku ya pili ziwezi kununua umeme.
Tanesco mbona mnataka tufilisike? Nyie hampendi kula chips kuku?
Ningepoza hizi frustration na beer tatu lkn kwenye grocery ya karibu beer Ni za Moto.
Nyama inaoza ndani ya friji. Hivi Tanesco mnajua Kuna watu tunanunua nyama na samaki wa mwezi mzima?
 
Hii michezo ilikuwa zamani ila sahivi
Hapana,unaweza kwenda mazima

Ova
 
Nahisi hata yule kafanya hivyo,

Ila nahisi ni mtu wa kitengo huko selikalini maana anajiamini sana.

Kingine ili ufanikishe hili na uwe salama lazima nyumba yako iwe na fence na usiruhusu watu wasiohusika kuingia hovyo hovyo kwenye geti lako.
Ila akiotewa na tanesco kuna wale wanazunguka na cruser
Wale wana machale, wanakuja kufanya ukaguzi wakiingia ndani lazima wakugumie
Hapo sasa mkishindwana wanakupeka mbele

Ova
 
 
Back
Top Bottom