Leo Siku ya tatu, nyumbani umeme umekata, afu shida sielewi Ni nini? Kama niluku sina uwakika kama imeisha Ila umeme ulikata ghafla tu, kwenye nyumba yetu, Na nyumba zingine upo mpka muda huu, lakini toka Jana naweka Luku inagoma, nikajua kwasababu kulikua Na shida ya mtandao, Jana kila ukijalibu kununua umeme, wanakwambia huduma aipatikani kwa sasa jaribu tena, baadae, lakin usiku wa saa nne nikabahatika nikatumiwa tokeni, kila nikiingiza kwenye mashineni ya luku, inaandika reject hata sielewi, shida Ni nini? Kwa mwenye uelewa wa ilo tatizo, anisaidie hata ushauri