Yaaah, tatzo ni pale unaajiri watu wa programming ambao hawapo nondo kwa kugeana pande au mtu alifaulu interview kwa bahati yake na kushindwa kufanya kazi ipasavyo hasa katka trouble shooting the problem, af kingine wabongo wengi hatuaminiani hasa katka Kaz hz za programming, bosi yupo tayar kumpa kazi mtu au kampuni nyingine kutengeza program fulan au mfumo fulan, na akamnyima Kaz mtu wa ndan ya kampuni mwenye uwezo mkubwa ili tu ionekane kampuni x ilipewa tenda na miamala itoke nje ya ofisi pesa zipigwe ndefu, pia mabosi wengi huwa wanataka share flan privately wanapotoa tenda kwa watu.
Sasa shida inakuja tatzo likitokea Kama hili, kila kitu linakuwa undercontrol ya mshkaji, labda niwachane tu. ICT ipo juu huku tunafanya project na sio research, kunaproject nyingi Sana znazomake sence zinaishia kwenye vyumba vya presentation...Ila vingekuwa implemented tungekuwa mbali Sana.