Samaki Singa
Senior Member
- Nov 20, 2016
- 191
- 194
Tunaomba tujuzwe na TANESCO kuna matatizo gani yametokea kwenye mtambo wa luku toka jana jioni mpaka alfajiri hii.
Wananchi tupo kizani nchi nzima kwa kushindwa kununua umeme.
Tunakuomba Waziri wa Umeme Mhe.Medard Kalemani ujitokeze hadharani na kutupa maelezo ya kina juu ya jambo hili.
TANESCO wapo kimya bila kueleza chochote kuhusiana na kadhia hii.Nini tatizo jamani?Au ni hujuma kwa Rais wetu mpendwa mama Samia Suluh Hassan?