Bujibuji kusema anajishushia heshima ni kumuonea hajawahi kuheshimika. Mtu mwenye vinasaba vya ubaguzi na chuki anae kesha akiihubiri chuki na kutoa kauli za kuudhi uliwezaje kumuheshimu?
 
Tanesco mtusaidie kuna tatizo gani hatuwezi kununua umeme kupitia simu wala wakala wenu
Mjue kila kitu kimesimama kwa wale waliokuwa wameishiwa na wanataka kununua
Tuelewesheni
 
Tanesco mtusaidie kuna tatizo gani hatuwezi kununua umeme kupitia simu wala wakala wenu
Mjue kila kitu kimesimama kwa wale waliokuwa wameishiwa na wanataka kununua
Tuelewesheni
Mfuko wa EGa umeingiliwa na kuhujumiwa. Serikali iwe makini. Tumeanza kuhujumiwa
 
Kibaya zaidi ni pale hela inachukuliwa na token kutolewa lakini ikiingiza kwenye luku haipokei; lazima kuna upigaji
 
 
watu wameshajua uzaifu wa huyu mama, anaongea lakini vitendo ni zero
 
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)

TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA MANUNUZI YA LUKU KWA BAADHI YA WATEJA


Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawaomba radhi wateja wake kutokana na hitilafu iliyotokea kwenye mfumo wa manunuzi ya umeme wa LUKU siku ya Jumatatu, Mei 17, 2021 na kusababisha baadhi ya wateja kushindwa kununua umeme.

Tunaomba uvumilivu wakati wataalamu wetu wanafanya kazi kuhakikisha tatizo hilo linatatuliwa haraka.

Tutaendelea kutoa taarifa kadri huduma itakavyo kuwa ikirejea.

Tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza

Kituo cha miito ya simu makao makuu +255 222 194 400 na +255 768 985 100

Tovuti: www.tanesco.co.tz

Mitandao ya kijamii

Twitter: www.twitter.com/tanescoyetu

Facebook Tanesco Yetu

Imetolewa na:-
Ofisi ya Uhusiano
TANESCO Makao Makuu
Mei 18, 2021.
 
Anzeni kuweka hela kwa ajili ya majenereta.

Hii nchi usifikiri hakuna mifumo ya kuisimamia ipo sana ila shida ni wasimamiaji na wasimamiwa wenyewe.

Mama anafikiri watz ni waaminifu sana kiasi cha kutaka kuacha wajiendee tu?
 
Kwa tulionunua Umeme siku ya jtatu fedha zipo kwenu zinarudije maana hata mitandao kama Airtel hawapokei simu za wateja tunafanyaje?
 
Ndo mtuambie na tatizo hilo linaisha lini maana mpaka sasa tumenunua umeme hela imekwenda umeme hakuna miamala yote inachukua hela token hakuna sasa tunafanyaje?
 
Mpaka 18.05.2021 pia
 
Ndo mtuambie na tatizo hilo linaisha lini maana mpaka sasa tumenunua umeme hela imekwenda umeme hakuna miamala yote inachukua hela token hakuna sasa tunafanyaje?
Tutatoa taarifa kamili tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…