Kuna kila rangi ya hujuma..nimenunua kupitia halotel hela wamekata na token hakuna
Mm nimenunua airtel Hera wamelamba token hakuna huyu mama sidhani km atatoboA mbona haya mambo tulikua tumeshaanza kuyasahau?
 
Tutatoa taarifa kamili tafadhali
Hivyo tuendelee kuvumilia giza kweli? embu kwa hapa tulipofikia uchumi wa kati mambo kama haya hayafai
TANESCO kuna sehemu mpo disconnect kama timu moja!
 
Medard kalemani amka, tanesco inahujumiwa .
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuongoza nchi ni zaidi ya kula urojo kule Zanzibar!
 
Ungetegemea bunge lisimamishe kila kitu na kuongelea hii, km walivyofanya kwa ile clip ya udaku wa bandarini !!
 
Mafundi wao wapo wengi watatusaidia kuunganisha waya zile mambo yaendelee.Hatuwezi kuozesha mali za maana kwa sababu ya matatizo yao huko.
 
ninachofahamu jana tarehe 18 /5/2021nilikuwa nataka kununua umeme kupitia Mpesa lakini ilikuwa inakataa hivyonikaacha lakini baadae nikajaribu ikawaimekubali bila shida hapo niligundua kuwa kweli kuna shida ya ununuzi wa umeme ila pia usikate tamamaa kujaribisha mara kwa mara ili ufanikiwe maana systeam ipo down
 
Duuh hii hatari,kwahiyo kwa siku tatu umeme hamna..

Mnazingua
 
Hii kitu nimejaribu mitandao mi3 na bank 1 lakin inakataa tokea Jana usiku, aiseee sio poa kwa huduma Kama hii kufeli
 
Nendeni site acheni blah blah. Wekeni ata huduma ya kurudhiana units kama vipi, watu mafriji yana mazaga zaga yakiharibika? Joto na mbu wa Dar bila feni?
 
Niwapongezeni sana kwa kuja na kujibia hili, utendaji huu ndio tunaoutaka ktk nchi hii, jtahidini tuweze kuipata huduma kwa kadiri itakavyo wezekana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…