TANESCO wapata hitilafu katika mfumo wa kununua umeme wa LUKU
E0NhMwdXIAAW0HL (1).jpeg
 
Dah.. mkuu unatuvua nguo hapa umefungua code kabisa hebu futa hii kitu tafadhali [emoji3][emoji120]
Ili uwe salama kwenye hii kitu lazima nyumba yako iwe na fensi na geti kubwa na iwe marufuku mtu mgeni kuingia ingia hovyo getini kwako mpaka kwa apointment
[emoji23][emoji23][emoji23]

Kama nyumba haina fensi popo wakipita lazima wakudake.
 
Bila kusahau mita lazima iwe ni ile ya ukutani. Siku hizi washenzi wameshtuka wanaweka mita juu kwenye nguzo kule
 
Bila kusahau mita lazima iwe ni ile ya ukutani. Siku hizi washenzi wameshtuka wanaweka mita juu kwenye nguzo kule
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakiweka kwenye nguzo huna ujanja.
 
Yaani sijui tunakwenda wapi!! zaidi ya siku ya 3 kila tukijaribu kununua umeme kwa mitandao yote hakuna kitu!! Na hakuna hata anayejali wala kufuatilia tatizo, watu wametulia tuliii!? sa sijui tunakwenda wapi!!

Nenda kanunue kwa foleni huko ofisini! Sasa siku tatu zote hizo unakula giza huku ukikorokochoa simu?
 
Hizi njama za Sukuma Gang!
Mama anafutia wanyonge kesi, za kubambikiwa.
Waziri atuombe radhi! Ajiuzulu!

Maigizo ya Majaliwa ya kujipa promo na ziara bandarini, ilitakiwa sasa ndiyo atuonyeshe anatatua hili.

Everyday is Saturday............................... 😎
Hawa sukuma gang wana nguvu ee?
 
Tulieni jamani haya mambo ndio yanaleta hela mtaani.

Si mlikuwa mnalalamika hakuna hela mtaani

Sasa nchi inafunguliwa acheni kazi iendleee
 
Na Kalemani kakaa tu kimya, umeme tangu juzi haununuliki kwenye simu watu wako gizani hakuna chochote kinachoendelea hela zinaliwa ,mtu kanunua umeme mitandao kama minne hela zinaliwa umeme token haziji Tanesco wanafeli sana
 
Hawa sukuma gang wana nguvu ee?
Wazitoe wapi nguvu??, Ha ha ah yawezekana tu mmoja kakata waya.
Baadaye utawasikia STIGLERS wakati Stigler haina uhusiano na Luku!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Back
Top Bottom