Ni bora hata Tanesco ife kabisa lakini mwendazake aende zake tu na tusijepata wa hivyo tenaSi mlikuwa mnampondea mwendazake et aliwasababishia matatizo, hayo ni manyunyu subirieni mvua iwanyeshee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni bora hata Tanesco ife kabisa lakini mwendazake aende zake tu na tusijepata wa hivyo tenaSi mlikuwa mnampondea mwendazake et aliwasababishia matatizo, hayo ni manyunyu subirieni mvua iwanyeshee.
Mkuu sidhani kama mama ana udhaifu bali inaelekea kuna genge ambalo wanataka kumkwamisha. Probably genge hilo ni lilokuwa linafaidika awau iliyopita, hawakubali ukweli kuwa zama hizo zimeishapita.watu wameshajua uzaifu wa huyu mama, anaongea lakini vitendo ni zero
Kwenye kuunda baraza la mawaziri mama Ali copy na ku paste. Sasa kinachotokea avumilie ndio majibu yakeNa Kalemani kakaa tu kimya, umeme tangu juzi haununuliki kwenye simu watu wako gizani hakuna chochote kinachoendelea hela zinaliwa ,mtu kanunua umeme mitandao kama minne hela zinaliwa umeme token haziji Tanesco wanafeli sana
Sasa inakuwaje?Wazitoe wapi nguvu??, Ha ha ah yawezekana tu mmoja kakata waya.
Baadaye utawasikia STIGLERS wakati Stigler haina uhusiano na Luku!
Everyday is Saturday............................... 😎
...kwa uuaji wake sio"Mtanikumbuka.."
Kazi iendelee...
Hata barabarani Mara moja moja kutanua siyo mbaya! IGA UFETANESCO njooni Kuna mwizi huku kajitangaza waziwazi.
Huko kite tumeenda hakuna huduma, naomba kama kuna mtu ana namba ya mh. Waziri mkuu anitumie!Hivi nikienda ofisi ya tanesco iliyokaribu yangu hawawezi kweli kuniwekea umeme/kunipa token?
Namna pekee ya kuzuia zinaa ni kufunga ndoa![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakiweka kwenye nguzo huna ujanja.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji2223]Hata barabarani Mara moja moja kutanua siyo mbaya! IGA UFE
hahahahhaaHata wao huenda umekatika wanalalamika
Yupo kwenye kikao taarifa anazo!Huko kite tumeenda hakuna huduma, naomba kama kuna mtu ana namba ya mh. Waziri mkuu anitumie!
Haiwezekani mkuu leo nilienda kuulizia.Hivi nikienda ofisi ya tanesco iliyokaribu yangu hawawezi kweli kuniwekea umeme/kunipa token?
Mkuu acha kunipa matumaini basi! Kikao gani cha siku 3 , hii kadhia ni ya tangu j.tatuYupo kwenye kikao taarifa anazo!
Ndo utulie kuna mtu kawekwa kitimotoMkuu acha kunipa matumaini basi! Kikao gani cha siku 3 , hii kadhia ni ya tangu j.tatu
Habari wadau!
Tanesco nimeamua kuwaita mara tatu kama wapo na wanapita humu JF wasome hizi comment za wananzengo maana naona kama wanaturudisha enzi za zama za mawe.
Umeme siku hizi umekuwa unakatika mara kwa mara pasipo kupewa taarifa rasmi zamani mlikuwa mnapita mpaka na magari mnatutangazia lakini sasa mnakata tu yaani kila ukiamka unakuta washakata.
Ukirudi ukijaribu kununua they are not reachable yaani hauwezi nunua kabisa Luku.
Daah hii sio fare kwa kweli, tukionge tunaonekana waropokaji.
Hivi kipindi cha mgao awamu ya nne nani alikuwa anahujumiwa? Au humu JF tumekubaliana kila tatizo tuelekeze kwa hayati?yaani nchi nzima haina umeme ila mama anakenua kenu tu ikulu..
fukuza wajinga wote mamluki wa Meko.wanafanya makusudi...yaani humu mama watamzamisha kwenye tope ngoja aendelee kuwachekea tu
tanesco wanatuludisha enzi za ngereja ha ha ha ha sitasahau aisee alafu kumbe hakukuwa na tatizo wala nini jamaa ana zambi sana yule"Mtanikumbuka.."
Kazi iendelee...