Tanga, Korogwe: Ajali yaua 17 na kujeruhi 12

Hivoo...hata mimi kuna mtu ananiambia ni huko soko la Mangulwa kwa juu...ila Wapumzike kwa amani [emoji17]
Yes. Ni jamaa zetu. Ndo maana nimeshangaa. Na najua watoto wa marehem ni wawilo waliofariki huyu kasema watatu. Ndo niliposhindwa kuelewa. Mokala ni mto umetutenganisha. Ila ni majamaa kabisa hujumuika. Lakini yawezekana ubaa huko kuna mrema pia maana ni ukoo mkubwa. Kuna kelamfua pia mrema ipo kubwa sana. Ni barabara tu zinatenganisha
 
Tukio likishakuwa kubwa misinformation ni nyingii...yote hii ni kwasababu ya kukosekana taarifa za uhakika kwa haraka.. anyway pole nyingi sana kwa wafiwa.
 
Kwa kawaida coaster zikiwa zinatoka Dar es Salaam, especially zikiwa zinakwenda mikoa ya kaskazini huwa zinakimbia sana wakati zinatoka

Sababu huwa ni kukwepa folen wanayokutana nayo kuanzia mwenge mpaka Bagamoyo

Ila baada ya hapo mwendo huwa wa kawaida na kawaida yao ni lazima wapumzike Msata, Mkata , Mombo na Njia Panda
 
Hivi ukivuka ule mto pale kiboro kwenda mbele ni mashati ama mkuu? Mrema imeanzia hapo mto nana kupanda huko juu mokala na kelamfua na jirani kwa masista japo na kungine ipo. So ni mkuu



Tusubiri Wenyeji waje wakujibu maana mie sifahamu vizuri @ Dear.

Mie najua yale maeneo Mainly kama vile Mkuu, Mashati, Tarakea, Mrao, Kerio, Useri, Mamsera vijiji vya ndanindani sivijui.
 
Wanawahi hotelini pia maana vyakula huisha sometimes kama hawajatoa order. Wengine hawanaga uzoefu na hizi mishe
 
Watani zetu wametukomesha[emoji23][emoji23] **** siku tuko na basi pale wami tukaparamia korongo. Kuna kenta ikamimina vibaka pale dk 10 nyingii[emoji23] ila walikuta kila mtu amebeba mizigo yake
Kuanzia wami kwenda mbele
Vijiji vingi wanaishi wezi tu hapo
Kuna wezi wanaiba magari ya mafuta,magari ya mizigo,mataili nk
Hiyo njia haifai kabisa.

Ova
 
Kuanzia wami kwenda mbele
Vijiji vingi wanaishi wezi tu hapo
Kuna wezi wanaiba magari ya mafuta,magari ya mizigo,mataili nk
Hiyo njia haifai kabisa.

Ova
[emoji23][emoji23][emoji23] dah, wako makini mno na kazi yao aiseee. Nawakubali. Inawezekana kbs ni vibaka hawa. Na kweli mtu na akili timamu itaishi vipi mitaa ile[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…