Tanga: Milioni 21 waliyoiomba Wazee kwa ajili ya Tambiko yakwamisha Ujenzi wa Barabara

Acheni kuwajengea pelekeni sahemu nyingine.
Yaani Kodi zetu zitumike kohonga wachawi? Hapana.
Huu utakuwa mchezo wa wachawi,leo Tanga,kesho utasikia Sumbawanga.

Kila mkoa ukiamua kutumia uchawi kuikwamisha Serikali inaweza.
Sehemu zingine Kuna treni za kichawi.Nao watataka pesa ili wasiikwamishe treni ya kawaida.
Serikali kalipieni upuuzi huu.
 
Wakishapewa hiyo hela watadhulumiana then watalogana wenyewe kwa wenyewe mpaka wote wafe
 
Wewe kila hoja unawashambulia hao waislamu ?!!

Una nini na hao ndugu ?!!!

Wewe dada utakuwa na matatizo makubwa sana ya UDINI....udini umekujaa sana....kwa hiyo sehemu ambazo hao Waislamu ni wachache huwa hakuna UCHAWI ?!!!😳😳🀣

Uko emotional katika mambo yanayotaka CRITICAL THINKING ?!!!

Ungekuwa na uwezo ungeweza kuwafuta uraia wa Tanzania waislamu wote bahati mbaya hunao.....
 
Ndio maana kuna wakati tunasema hakuna demokrasia kwa mpumbavu, ona sasa watu wanakosa barabara eti kisa tambiko na mizimu..
Kama Serikali wakitoa pesa ya walipa Kodi kuwahonga wachawi,basi hatuna serikali Bali wahuni.
 
Jaribu uone kama hujashushwa shipa size ya tikiti maji kudadeki.
 
tukiendekeza huu ujinga, kuna siku mizimu itakaa Airport kumzuia mama asisafiri tena kwenye kikao UN kabisa....tena hiyo inaweza kudai damu kabisa..
 
Rais wetu wamemudharau Sana,yaani inafikia hatua wachawi wanatoa masharti kwa Serikali?
Tangu nizaliwe sijawahi sikia kokote duniani.
Acha ujinga kwani machifu huwa hawana WAPIGA RAMLI NA WACHAWI ?!!!!
 
Sikuwahi aminisha mtu nyungu ni dawa ya corona mkuu.

Ndo jina tulilobatiza utamaduni wetu wa kuabudu kuita ushirikina, ila nakwambia yana nguvu kama huamini waambie hapo wajenge bila kutambika uone.
Kuwa na nguvu haifuti uhalisia kuwa matambiko ni Ibada kwa Mapepo ambayo kweli yapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…