kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 6,716
- 12,116
Wewe umeona?Kumbe Unasikia tu?
Na KitimtimKuvumbi leo.
Tatizo ni ufuatailaji wa vipengele na makubaliano ya mkataba. Viongozi wetu watahongwa wanasahu kila kituMiaka 100 kwa billion 500 ambazo hata bahresa angefanya kazi hiyo !!mzee mwinyi aliuza loliondo kwa mwarabu huyohuyo Leo wamasai wanakufa na kuzikwa kwa risasi za mwarabu ,TICS nayo tuliambiwa bandari itafanya vizuri lakini wewe ulishuhudia utopolo wa hao wahuni au umesahau
Hapo kwenye miaka 100 ndo wanaweka usiri!! Hawataki tujueMiaka 100 kwa billion 500 ambazo hata bahresa angefanya kazi hiyo !!mzee mwinyi aliuza loliondo kwa mwarabu huyohuyo Leo wamasai wanakufa na kuzikwa kwa risasi za mwarabu ,TICS nayo tuliambiwa bandari itafanya vizuri lakini wewe ulishuhudia utopolo wa hao wahuni au umesahau
Wananchi ndio wenye mamlaka ya kubadili mamlaka kw sanduku la kura utafiti unaonyesha wananchi wamerizika na utawala wao!Yaani ccm ilete ajenda, wakati yenyewe ndio imerukia tukio la mpira? Chama chenye ajenda hakiwezi kutegemea vyombo vya dola kubaki madarakani kwa shuruti miaka yote.
Na Serikali wataiuza lini ?Hakuna mahala tulipowahi kufanikiwa kwenye haya mambo yaubinafsishaji zaidi ya hasara na vilio kila mahala.
Uwezo wa watu wetu kiakili bado ni mdogo sana, lakini pia tamaa na ubinafsi wa watu wetu nayo ni changamoto pia.
Sio kwa ushenzi ule tunaouona kwenye chaguzi zetu.Wananchi ndio wenye mamlaka ya kubadili mamlaka kw sanduku la kura utafiti unaonyesha wananchi wamerizika na utawala wao!
tatizo siyo kampuni , ni mkataba tunaoingia naoView attachment 2646897
DP world wanaendesha port ya london ni kampuni kubwa ambayo ipo nchi nyingi tu za ulaya binafsi ninavyoijua hiyo kampuni ni neema sana kuja Tanzania