Tanzania inatarajiwa kuingia mkataba na Kampuni ya DP World ya Dubai kuendeleza bandari ya Dar es Salaam
Mbona ameishia njiani nilikuwa nasubiri atuamuru Watanganyika tunoe mapanga yetu.
 
Hana jipya huyo fala. Mambo mapya haya hapa kwa faida ya wote:


Una jipya lipi wewe uauyekuwa fala?
 
Hana jipya huyo fala. Mambo mapya haya hapa kwa faida ya wote:

Hata heshima mmekosa? Mtu una akili kibaba, upeo zero, unafiki 100%, halafu unadiriki kumwita mtu mwenye weledi mkubwa fala!! Naona unatembea na shetani wewe. Maana hakuna aliye na Roho wa Mungu mwenye mdomo mchafu kama wako.
 
Nafikiri kwa uwingi wetu tumekubaliana agenda kuu iwe kuupinga MKATABA usio na MASLAHI MAPANA kwa Taifa letu, si ndiyo jamani?

NB: RASILIMALI za Taifa na KATIBA MPYA.
 
Uwekezaji usioainshwa kwa wananchi kua ni wa asilimia ngapi, nchi itapata manufaa gani, ni uwekezaji wa muda gani, nchi itapata asilimia ngapi, na wanainchi watarajie nini, uwekezaji unaotumia nguvu nyingi, watu wajinga na wa hovyo ili kushawishi uwekezaji wa namna hiyo kukubalika ni uwekezaji unaokubaliwagwa na vichwa maji wasio na shule kichwani mithiri ya mwendawazimu. Asanteni
 
Tuwe makini jamani maana lugha zinazidi kutofautisha kila iitwapo leo

Wengine wanasema ni Mkataba na wengine Makubaliano kila mtu na lwake

Mlale unono 😃!
 

Bandari isitufanye kama Tunajenga Mnara wa Babeli​


Kwa kweli, na tukishuka hatutaelewana....
 
Back
Top Bottom