Tanzania inatarajiwa kuingia mkataba na Kampuni ya DP World ya Dubai kuendeleza bandari ya Dar es Salaam
Team,
Why mara zote linapokuja suala la uwekezaji nchini kelele huwa nyingi?

# Serikali hutumia misuli kuaminisha umma kuwa jambo inalolisimamia halina madhara mbeleni;

# Wananchi nao hutunisha misuli kupinga kwa maneno hoja ya uwekezaji kwa mtizamo tu kwamba huenda viongozi wamepiga 10%.

Sasa:
Ktk hili la DP world Tuiamini Serikali au wavuja jasho na maskini?

Msakila Kabende Msakila
Mchumi Mbobezi
 
Kuna wakati nikiona rangi ya kijani natamani hata kung'oa hata kama ni mti
Niliwahi kuzungumza na watu kadhaa kuwa maneo yanayotamkwa na watu wa rangi ya kijani kuwa wataisoma namba" bila kukumbuka matokeo yoyote ya maisha kiuchumi hayamchagui wa kijani Wala zambarau,
Tutafika mahala mberere za watu kufuata upepo zitaigharimu nchi kwa miaka mingi na muda hauko mbali
Naona muelekeo mbaya sana wa siasa za hii nchi kwa kuwa na watu wasio waaminifu na wazalendo,wanaojali matumbo kuliko nafasi na mamlaka walizokasimiwa

Iko siku Simba na swala watakula pamoja,sasa sijui ni nyasi ama nyama
 
Team,
Why mara zote linapokuja suala la uwekezaji nchini kelele huwa nyingi?

# Serikali hutumia misuli kuaminisha umma kuwa jambo inalolisimamia halina madhara mbeleni;

# Wananchi nao hutunisha misuli kupinga kwa maneno hoja ya uwekezaji kwa mtizamo tu kwamba huenda viongozi wamepiga 10%.

Sasa:
Ktk hili la DP world Tuiamini Serikali au wavuja jasho na maskini?

Msakila Kabende Msakila
Mchumi Mbobezi
Dawa ya haya yote ni katiba mpya ambayo kila raisi atakaye tawala tanzania lazima ashitakiwe akibainika kakosea madaraka vibaya au kakikuka katiba.
 
Team,
Why mara zote linapokuja suala la uwekezaji nchini kelele huwa nyingi?

# Serikali hutumia misuli kuaminisha umma kuwa jambo inalolisimamia halina madhara mbeleni;

# Wananchi nao hutunisha misuli kupinga kwa maneno hoja ya uwekezaji kwa mtizamo tu kwamba huenda viongozi wamepiga 10%.

Sasa:
Ktk hili la DP world Tuiamini Serikali au wavuja jasho na maskini?

Msakila Kabende Msakila
Mchumi Mbobezi
Sasa Bwana mbobezi embu jibu maswali ya wanaopinga hilo dili la DP World kwanza kabla hujaja na blabla
 
Team,
Why mara zote linapokuja suala la uwekezaji nchini kelele huwa nyingi?

# Serikali hutumia misuli kuaminisha umma kuwa jambo inalolisimamia halina madhara mbeleni;

# Wananchi nao hutunisha misuli kupinga kwa maneno hoja ya uwekezaji kwa mtizamo tu kwamba huenda viongozi wamepiga 10%.

Sasa:
Ktk hili la DP world Tuiamini Serikali au wavuja jasho na maskini?

Msakila Kabende Msakila
Mchumi Mbobezi
Amini kilichoandikwa, kama serikali ina ushahidi wa kimaandishi basi huna budi kulalia upande huo, kama hao uliowapa jina 'genge' wana hoja zenye ushahid wa kimaandishi pia huna budi kuupa nafasi ubongo uweze kuchakata mambo.
 
Huu ndiyo ulio ukweli mchungu kwa waliokuwa wamejiaminisha kwenye wakiuita ni unyonge wetu:

Kosa ni kurudia kosa.

"Kwenye hili mmegusa pabaya."

Hiyo ndiyo habari yenyewe.
 
Katika upepo nlowahi ushuhudia kukaa muda mrefu basi ni hili la BANDARI.

Yashawahi tokea mambo mengi ila yalipita haraka au kusaulika

Swala la Tozo.
Swala la Uchaguzi wa 99.9%
Swala la Msiba wa Riasi. na mengine mengi.

Ila hili la bandari ni kwamba kila kukicha ndo yanayoongelewa utadhani ni jambo la jana tu.

Nadhani Wa Tz hapa akili zimefunguka.

Naamini hata viongozi wetu aman au fraha haipo.
Yaezekana waliona litapita tuu kama mengine.
 
Huu ndiyo ulio ukweli mchungu kwa waliokuwa wamejiaminisha kwenye wakiuita ni unyonge wetu:

View attachment 2679527

Kosa ni kurudia kosa.

"Kwenye hili mmegusa pabaya."

Hiyo ndiyo habari yenyewe.
Hana jipya huyo fala. Mambo mapya haya hapa kwa faida ya wote:

I like this motive, CCM cannot keep on brain washing us, the citizen are knowledgeable and know how to handle their affairs and problems
 
Huu ndiyo ulio ukweli mchungu kwa waliokuwa wamejiaminisha kwenye wakiuita ni unyonge wetu:

View attachment 2679527

Kosa ni kurudia kosa.

"Kwenye hili mmegusa pabaya."

Hiyo ndiyo habari yenyewe.
Huyu amesoma na kuelimika, si msakatonge. Leo mmoja wa maprofesa na mtetezi wa DP world kapewa cheo cha uwaziri. Wasomi wasio jiamini wako tayari kutetea mambo yasiyo haki hili mradi wapate cheo
 
Hana jipya huyo fala. Mambo mapya haya hapa kwa faida ya wote:

Fala mwenyewe!
 
Back
Top Bottom