Kama ccm imeanza kutumia watu duni kama wewe kuitetea , basi bila shaka mwisho wake umefika rasmi .
 
Hii nchi niulize kwanza ina shida gani? Nani ametuloga? Kwahiyo hili Bunge na wabunge kazi zao ni nini?

Inasikitisha na kuumiza hivi kweli yeye anaupiga mwingi? Bandari finally inabinafsishwa kwa 100? Kweli Kagame hakukosea alivyosema tumpe bandari then yeye atatoa nusu ya bajeti hakukosea aisee!

Wabunge huu ujinga na uzandiki mnaofanya haukubaliki.

 
Yaani Wazanzibari watu walikuwa wanaenda shule. Wao wana cheza bao tu.

Yaani Ukodishe kitega Uchumi kikuu cha Taifa kwa Mhuni , tena Mwarabu! Serikali ya Tz imeshindwa nini?
 
Wewe kweli una matatizo makubwa. Umetumia muda mwingi kuishambulia CHADEMA bila hujaonesha ubora wa huo mkataba hata kidogo. Punguza unafiki na siasa za kijinga.
 
Bro wewe ni mpuuzi kweli, unaandika nini? Mkataba umesainiwa Dubai huoni kama Shida inaanzia hapo, Nan mwenye akili timamu anaweza kusaini mkataba wa kubinafsisha internal resource nje ya nchi? Huo mkataba umeuona wewe??nani kauona? Dp world ni wajinga kiasi Gani waje kuwekeza kwenye hasara??sisi tunashindwa Nini kubaini changamoto za bandari na kuzifanyia kazi. This personal interest, ni mtu mmoja tu kwa maslahi yake KAAMUA
 
Wewe kenge weka mkataba hapa
 
Daaah,,mleta mada sijui shuleni ulienda kufanya nini. Yaani unatumia kiungo cha mwili kilicho wazi kufikiri badala ya ubongo kweli!
Miaka 100 mtu amezaliwa na amekufa lakini watu bado wanaendelea kupata ujuzi khaaa.
 
Bandari ya Dar es salaam ndilo lango la biashara na bidhaa kwa nchi kwa uchumi wa Tanzania na majirani zake.
Kuiweka rehani kwa wageni ni kuhujumu uchumi wa nchi na msjirani zake
Hivyo, nasema silabi tatu tu HAPANA.
Tusirudie makosa tuliyofanya kubinafsisha TANESCO NA ATCL.
 
Roho inaniuma sana, hv kuna nini hasa kimeikamata hii nchi, kila mara kujipeleka kwenye midomo ya chatu?
 
 
 
 
Wewe jamaa vp
 
HUU MKATABA UNAANZA LINI JAMAANIII!! KAMA NI 2024 YAANI +100YRS, JE WEWE NA MIMI NI KIZAZI CHA NGAPI TOKA KWAKO AU KWANGU KITAPOKEA KIJITI TOKA KWA HAWA MAJIZI!!!
 
Hao wanajulikana ni kikundi fulani cha kudandia matukio na kuyafanya ajenda mbaya baada ya muda ccm huleta mpya!
Yaani ccm ilete ajenda, wakati yenyewe ndio imerukia tukio la mpira? Chama chenye ajenda hakiwezi kutegemea vyombo vya dola kubaki madarakani kwa shuruti miaka yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…