Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Lengo la mh.SSH ni kuifanya bandari iweze kuchangia NUSU ya bajeti ya Mwaka ya nchi...hili nalo baya?!!!
#SiempreJMT[emoji120]
#SiempreJMT[emoji120]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasikitisha kuona kuwa unakwenda kuwa mwisho wa wezi wa bandari ?!!![emoji15][emoji15][emoji15]inasikitisha sana
Bandari ibinafsishwe ili tupate mapato zaidi ya yanayoibiwa kila uchao......Kwanza zilipigwa pasi nyingi sana katikati ya uwanja kwa kutoa motisha kwa yanga mara kununua magoli nikajisemea moyoni sio Bure kunakitu. Leo wakaja na mkeka wa wakurugenzi na maDas. [emoji119]
Nchi haiendi bila kubinafsisha yenye ukakasi....Hatuna muda mrefu watasaini ushoga hawa mabata
Huna ujualo....kalaghabaho.....Tatizo linaanzia kwenye muungano wetu. Kuna mtu hana uchungu na vya Tanganyika na watanganyika wenyewe. Asipoambiwa imetosha atauza maziwa hadi ikulu
uko sahihi kabisaMsisingizie mama wa watu kuwa amewafanyeni wapumbavu. Mama wa watu amewakuta mmeumbwa hivyo na maupumbavu yenu.
Tangu lini mliwahi kutokuwa wapumbavu
Sasa Kama hakuna mtu mwenye uchungu hapa unaongea nini ?!!! Si bora ijiendeshe tu yenyewe.....[emoji1787]Hii nchi inaongozwa na majambazi...aminini nawaambia...hakuna mwenye uchungu na hii nchi ata kidogo
Wewe unayajali ya wengine?!!!!Hakuna mtu anaejali maisha ya mtu mwingine, wanasiasa wanafanya kwa ajili yao .
Andamana basi halafu uone kama taifa halitabinafsisha bandari ?!!!Yaani sijui Kuna watu huwa wanafikiria Nini,mtu huna uchungu kabisa na nchi yako urithi wa taifa lako unautoa kihivi kweli,Kwanini tunafikiri pafupi hivi ,akili zetu zimeishia wapi.Ebu tuzinduke hata Kama Ni raia wa kawaida sauti zetu tusipaaze zisiishie kwny minong'ono tuseme ukweli.
10%Naunga mkono bandari kupewa dp world kwa masharti yoyote. Tumechoka na watendaji wetu hawa wazembe, bora kenda shika kuliko kumi nenda uje.
Tunaanzia hapa, kama faida ipo tutaiona. Kama haipo tutaona pia. Waliopo bandari wote wapelekwe halmashauri au wakae pembeni. Wanaopitisha mizigo bure ndio wanaolalamika, aliingia mwarabu bure hakuna tena.
Kuna mwenyekiti fulani wa chama nimeona kashiba asali anaanza kuponda mkataba, mara sijui hauna ukomo. Yeye mbona chamani kwake hana ukomo?
Hatuwezi kuendelea na hawa wafanyakazi wazembe wazembe wenye akili kama za cute wife, lazima tubadilike tunataka utendaji na ufanisi.
Iwe huzuni kuyazuia majambawazi kutoendelea kutuibia bandarini kwa kusababisha mifumo ya TEHAMA kutosamana kati ya TPA na TRA?!!!Ni huzuni
jiwe asingekubali upuuzi kama huuJambaz kuu alikuwa jiwe
Unamuonea.....Kauza bandari za Tanganyika lakini za Zanzibar kaziacha
Bunge DHAIFU la CCM limepitisha azimio la kubinafsisha bandari ya DSM kwa kampuni ya DP World ya Dubai kwa miaka 100 hadi 2123.