Tanzania inatarajiwa kuingia mkataba na Kampuni ya DP World ya Dubai kuendeleza bandari ya Dar es Salaam
Lengo la mh.SSH ni kuifanya bandari iweze kuchangia NUSU ya bajeti ya Mwaka ya nchi...hili nalo baya?!!!

#SiempreJMT[emoji120]
 
Mawazo finyu kabisa.....

Mifumo ya TEHAMA Kati ya TPA na TRA haisomani....wewe huoni kama huu ndio usaliti mkubwa kwa taifa?!!!

Mh.Rais SSH anataka mifumo hiyo iwe sawa na ndio maana tunaibinafsisha bandari ili tufike tutako....Mh.SSH atakumbukwa vyema kwa hili.....

#SiempreSSH[emoji120]
 
Wanaopinga ubinafsishaji huo ndio makuwadi na mafisadi wenyewe....bandari limekuwa pango lao la kuiibia nchi....

Kongole kwa serikali ya awamu ya 6 kuliona hilo [emoji123]

#SiempreJMT[emoji120]
 
Naunga mkono bandari kupewa dp world kwa masharti yoyote. Tumechoka na watendaji wetu hawa wazembe, bora kenda shika kuliko kumi nenda uje.

Tunaanzia hapa, kama faida ipo tutaiona. Kama haipo tutaona pia. Waliopo bandari wote wapelekwe halmashauri au wakae pembeni. Wanaopitisha mizigo bure ndio wanaolalamika, aliingia mwarabu bure hakuna tena.

Kuna mwenyekiti fulani wa chama nimeona kashiba asali anaanza kuponda mkataba, mara sijui hauna ukomo. Yeye mbona chamani kwake hana ukomo?

Hatuwezi kuendelea na hawa wafanyakazi wazembe wazembe wenye akili kama za cute wife, lazima tubadilike tunataka utendaji na ufanisi.
 
Watanzania tuamke nchi inaibiwa jamani, tuandamaneni kushinikiza nchi iache nia yake ovu dhidi ya uuzaji wa bandari zetu
 
Kwanza zilipigwa pasi nyingi sana katikati ya uwanja kwa kutoa motisha kwa yanga mara kununua magoli nikajisemea moyoni sio Bure kunakitu. Leo wakaja na mkeka wa wakurugenzi na maDas. [emoji119]
Bandari ibinafsishwe ili tupate mapato zaidi ya yanayoibiwa kila uchao......
 
Tatizo linaanzia kwenye muungano wetu. Kuna mtu hana uchungu na vya Tanganyika na watanganyika wenyewe. Asipoambiwa imetosha atauza maziwa hadi ikulu
Huna ujualo....kalaghabaho.....

Mh.Samia ni mzalendo kukuzidi wewe hapo na ndio maana taifa limeridhia awe rais wetu.....bambash
 
Yaani sijui Kuna watu huwa wanafikiria Nini,mtu huna uchungu kabisa na nchi yako urithi wa taifa lako unautoa kihivi kweli,Kwanini tunafikiri pafupi hivi ,akili zetu zimeishia wapi.Ebu tuzinduke hata Kama Ni raia wa kawaida sauti zetu tusipaaze zisiishie kwny minong'ono tuseme ukweli.
Andamana basi halafu uone kama taifa halitabinafsisha bandari ?!!!

Mambo ya nchi hayaendeshwi kwa hisia......
 
Naunga mkono bandari kupewa dp world kwa masharti yoyote. Tumechoka na watendaji wetu hawa wazembe, bora kenda shika kuliko kumi nenda uje.

Tunaanzia hapa, kama faida ipo tutaiona. Kama haipo tutaona pia. Waliopo bandari wote wapelekwe halmashauri au wakae pembeni. Wanaopitisha mizigo bure ndio wanaolalamika, aliingia mwarabu bure hakuna tena.

Kuna mwenyekiti fulani wa chama nimeona kashiba asali anaanza kuponda mkataba, mara sijui hauna ukomo. Yeye mbona chamani kwake hana ukomo?

Hatuwezi kuendelea na hawa wafanyakazi wazembe wazembe wenye akili kama za cute wife, lazima tubadilike tunataka utendaji na ufanisi.
10%
 
Bunge DHAIFU la CCM limepitisha azimio la kubinafsisha bandari ya DSM kwa kampuni ya DP World ya Dubai kwa miaka 100 hadi 2123.
20230607_213726.jpg
 
Back
Top Bottom